Umasikini ulivyonitenga na mpenzi wangu wa utotoni

Junior Rutashoborwa

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
228
210
Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana!

Nakumbuka miaka ya 1990s, baba yangu alipata bahati ya scholarship Marekani, chuo kimoja kinaitwa Yale. Hivyo ilimlazimu kuamia US yeye na familia yote kwa ujumla.

Maisha ya US hayakuwa mazuri kiasi hicho kwani tulifikia kwa mtu, ndugu wa mbali; mme wa mdogo wake na na mama kizaa baba. Yaani bibi kizaa baba alikuwa na mdogo wake ambaye aliolewa Marekani enzi hizo kabla ya uhuru.

Basi bhana, mshua kasoma mpaka akamaliza; alikuwa anasomea maswala ya architecture. Baada ya kumaliza, kupata kazi ikawa shida, kama mnavyojua nchi za wenzetu, kuajiliwa ni process kubwa sana. Akakaa kitaa miezi miwili bila kazi.

Baada ya dhiki faraja ndio wahenga usema, zilitokea nafasi za ajira pale Yale Department ya architecture and Design mzee akaaply, wakaambiwa baada ya miezi kadhaa watapewa majibu. Ikatokea kama miujiza hivi, ba mdgo Mulokozi wa Dar akawa amemtumia email mzee afanye mchakato aje Dar kuna nafasi ya kujishikiza hapo UDSM wakati akisubiria Deal la Yale litiki. Basi bhana, katikati hapa yalitokea mengi ila kufanya story fupi, tulifanikiwa kurudi Nyumbani Tanzania.

Tulipokuwa nyumbani Tanzania hapo ndo balaa lilianzia. Ndugu zangu umasikini mbaya sana!
Nakumbuka tulifikia sehemu moja hapo Dar, wanapaita wilaya ya Kinondoni kama sijakosea. Kwa kuwa hatukuwa na nyumba na hatukutaka kukaa kwa ndugu zetu, tukaamua kupanga Kiji-apartment mitaa ya Masaki, tukawa jirani na wahindi na waarabu wa Oman.

Siku moja nimeamka asubuhi nipo zangu floor ya tatu naswaki, ile naamisha macho yangu huku na huku kuangalia uzuri wa mtaa watu, nikamuona binti mrembo kweli kweli wa Kihindi. Asikwambie mtu, yule mtoto alikuwa mzuri kweli utafikiri akuumbwa!

Badae nilikuja kugundue yule binti alikuwa anaitwa Umurat, nilianza kujipendekeza kwao ilimradi tu anione labda atanipenda. Kama zari la mentali vile binti akanielewa.

Sorry jamani nitakuja kuendelea badae, nimepata wageni hapa home, tumetembelewa na kitengo maalumu cha Kitongoji chetu hpa Manihattan, kinachojihusisha na COVID19, ngoja nivae barakoa nikawasikilize. Ntakuja kumalizia kisa changu.
 
Hahahaha mkuuu
 
Napenda sana story za watani na wajomba zangu wahaya!! Story zao uwa zinafurahisha Sana, hakuna mambo sijui ya uchawi!! mara sijui kwa mganga kuna maajabu!! sijui mambo ya mizimu!! hawana kabisa mambo hayo.
Story zao zinahusu maisha mazuri, shule, story za majuu kule dunia ya kwanza, nawapenda sana wajomba zangu
 
Amka wewe kumekucha , acha kuota mapema hivi haaaa haaaaa!!!!!
 
Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana!

Nakumbuka miaka ya 1990s, baba yangu alipata bahati ya scholarship Marekani, chuo kimoja kinaitwa Yale. Hivyo ilimlazimu kuamia US yeye na familia yote kwa ujumla.

Sorry jamani nitakuja kuendelea badae, nimepata wageni hapa home, tumetembelewa na kitengo maalumu cha Kitongoji chetu hpa Manihattan, kinachojihusisha na COVID19, ngoja nivae barakoa nikawasikilize. Ntakuja kumalizia kisa changu.
Safi sana Mhaya katika ubora wake..
 
Wahaya kwa sifa, mtu wakishua sana ww Yale University miaka ya 90 duuhh

Ila watu ety damu ikitiririka mithili ya damu ya kuku

Anyway nangoja muendelezo
 
Hivi email ilisambaa huku Bongo mwaka gani? Nauliza tu sababu mleta mada kasema baba mdogo huyu jamaa alimtumia baba yake email akiwa Marekani miaka ya 90.
 
Utoto umezidi JF, summerize habari yako kwa paragraph 4-5 conclude kisa chako, hizi habari za samahani nitamalizia siku nyingine ni utoto
 
Back
Top Bottom