JMipicha
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 704
- 1,103
Naimani mko powa ssana watu Bad na masista duuh na bi wakubwa shikamonni
Uzi unaanza Wiki kama mbili zimpita kuna mke wa mtu katokea pande ambko nafanyia kzi me ni gym trainer sasa huyu bi dada tumekuwa zaidi ya marafiki yaan undugu ananisaidia kwenye mambo mengi tu sasa mume wake naskia ana wivu kinoma kuna siku alikuja nae gym ili apajue anapofanyia mazoezi alafu kuna time anatak awe anakuja nae yaaan me nasema wanaume wenye wivu kama huu mkataze mkeo asije gym ...ATALIWA
UZI TAYARI ....
From iPhone pro max ...