Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu JamiiForums. Mimi mdogo wenu wa mwisho (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Huku...
13 Reactions
140 Replies
59K Views
Kichwa cha habari kinajitosheleza nimeona washkaji kibao wanakesha na ukwadu kisa tu ni madomo zege! Mwanaume ukiwa mtu wa kujiamini sana hata kama huna muonekano unaweza kuchukua pisi kali tu
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu? Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
6 Reactions
119 Replies
11K Views
We mzee mwenye nyumba umekalia pombe na nyama choma wengine mipira ya Premier league ukirudi upo bize na laptop unajidai upo bize. Hata ukipewa game full kulalamika eti umechoka, kimoja hoi...
8 Reactions
107 Replies
23K Views
Mkiambiwa wanawake sio watu wamchezo mchezo kubalini tu, kuna uzi nilishaweka hapa nikiwaambia wanaume pimeni DNA mkihisi mna wasiwasi viumbe mnavyovilea sio vyenu msije mkaja kulia, wanawake...
16 Reactions
98 Replies
8K Views
Habari za sahivi wakuu natumaini ni wazima niende moja kwa moja kwenye mada Unajua maisha yana mambo mengi ambayo tunayafanya Mara nyingi bila kujua matokeo yake yatakuaje Nakumbuka...
14 Reactions
115 Replies
14K Views
Dhambi ni ya kuiogopa sana, usiseme yule ni mke wa mtu ngoja nikazini naye leo tu basi, hakutakuwa na shida yoyote, usijaribu kufanya hivyo ndugu, usiseme ngoja niibe kile kidogo kwenye kampuni...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Hebu tubeane mawazo, ila kwa upande wangu naona hizi Ndo sababu kubwa 1. Kutojaliwa 2. Upumbavu Wa mtu( mwanaume) 3. Utundu Wa kutaka kujaribu mengi Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Unachotakiwa kufanya ni kutaja jina lolote lile la movie uliyoiona ambayo unaona kabisa wameigiza mahusiano yenu, wala usielezee kama kuna mtu anataka kujua kwa undani basi akaitafute iyo movie...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother. Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!. Kama ni mtu kujiaminisha kuwa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna salon ya kiume nilikuwa nimezoea sana kwenda..iko very simple Au tuseme kizamani..haina wadada Hakuna kuosha nywele.. Muda mwingi wakati unanyoa mnapiga story za mpira na siasa...halafu...
46 Reactions
81 Replies
10K Views
Mmeenda kwenu kijijini, eti mkeo hakwenda kuteka maji (kwa taarifa ulizopewa na dada zako) Hizo nguvu za kumpiga na kumuumiza mke wako kwa maneno ya kusikia unazipata wapi? Hebu tulijadili kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rejea tena kichwa cha bandiko! Kuna couple hapa imenifanya niwaze hili, kwa jicho langu ni kama wanafurahia sana muda wao pamoja. Nami nikatamani nikiwa mkubwa nimiliki mali ambayo nitafurahia...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Dating and marriage crossing ethnic, racial, and cultural lines have become increasingly common in the world. According to Social and Demographic Trends the overall increases in intermarriage...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Kuna jambo naomba mtazamo wenu maana naona linaleta mkanganyiko mahali. Ikiwa wewe ni mwanaume na umezaa na mwanamke lakini hamkufikia lengo la ndoa. Hivyo mkaamua mumlee mtoto...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Story yeyote inayoletwa na mdada humu jukwaani utakuta anaelezea mazingira ya maisha safi, anakula hotelini, anatembelea beach fulani hivi amazing. Kila mdada humu msomi hajawahi kuachwa na...
11 Reactions
106 Replies
6K Views
Habarin wadau Leo nimeamua kushare nanyi hii mada ni kwel ckatai pesa ndio kila kitu kwa maisha ya sasa lkn km mwanamke hakupendi jua hakupend tu na hata ukibahatika kuwa nae Takumegea tu ilo...
12 Reactions
59 Replies
7K Views
Poleni na majukumu wana JF Mwanamke aliolewa Mwaka juzi ndoa ya Kanisani, hawajawahi kupata mtoto, kutokana na kuishi mikoa tofauti kwa sababu ya mazingira ya kazi Mwanamke alipata Mimba nje ya...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakuu njooni tupeane uzoefu maana mapenzi ni kama penati hazina mwenyewe. Nimeshapitia breakup nyingi tu ila mara nyingi baada ya mwezi mmoja narudi normal. Sasa hii ya sasa ndio kiboko...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi smartphone zimekuwa kawaida sana kumilikiwa na watu wengi hususani vijana, Smartohone hizi zina kamera ambazo baadhi ya vijana huzitumia kujirekodi wakiwa katika ibada ya utamu...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom