Leo nimeumia kuona Mwanamke anateseka

Leo nimeumia kuona Mwanamke anateseka

Joined
May 22, 2017
Posts
65
Reaction score
299
Muhumu kuliko yote.

1.Tuwape mitaji wake zetu ili wasimame wenyewe mapema.

2.Tuandike warithi mapema
Usione fahari kuoa mwanamke ukirudi nyumbani unakuta kaandaa mahanjumati tu, bingilibingili michezo ya Sakafuni[emoji24][emoji24], kuna leo na kuna kesho haupo, wanawake wanateseka sana baada ya wanaume zao kufariki.

Mwanaume Jifunze kwa wanawake unaowaona wanateseka leo hali ya kuwa kabla walikuwa wanaishi vyema na Waume zao[emoji24][emoji24]
Mwanamke amkaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Usione fahari kuoa mwanamke ukirudi nyumbani unakuta kaandaa mahanjumati tu, bingilibingili michezo ya Sakafuni[emoji24][emoji24], kuna leo na kuna kesho haupo, wanawake wanateseka sana baada ya wanaume zao kufariki. Mwanaume Jifunze kwa wanawake unaowaona wanateseka leo hali ya kuwa kabla walikuwa wanaishi vyema na Waume zao[emoji24][emoji24]

Leta mkasa
 
Umeongea jambo la msingi sana.Elimu imetosheleza
 
Hapa ungewashauri wanawake wabadili tabia ya kuwa jeuri pindi washikapo hela ndio ninhekuona umeongoa point....... Maana hakuna mwanaume anaependa kuona mwanamke anateseka ndio maana mwanaume anaweza akampa hela mwanamke akale chips mayai alafu yeye akashindia mihogo.

So washauri wanawake wawe na akili pindi washikapo hela
 
Wabaki nyumbani tu wakishika hela wanaanza kiburi na kuwa jeuri
Kwa kweli huyu wa kwangu hana lakini mechi yake sio mchezo sasa zikimtembelea inakuwaje? lazima anikunje
 
Muhumu kuliko yote.

1.Tuwape mitaji wake zetu ili wasimame wenyewe mapema.

2.Tuandike warithi mapema
Usione fahari kuoa mwanamke ukirudi nyumbani unakuta kaandaa mahanjumati tu, bingilibingili michezo ya Sakafuni[emoji24][emoji24], kuna leo na kuna kesho haupo, wanawake wanateseka sana baada ya wanaume zao kufariki.

Mwanaume Jifunze kwa wanawake unaowaona wanateseka leo hali ya kuwa kabla walikuwa wanaishi vyema na Waume zao[emoji24][emoji24]
Mwanamke amkaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
we! mwanamke anapenda malalamiko hivyo unatakiwa utushauri tuwape kichapo kila sk japo kidogo huku tukiwabembeleza wakati wakilia kwa kwikwi huku wakiachilia malalamiko yanayoleta mahaba mazito unapoweza kumtawala we vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom