Jinsi ya kumfanya mwanamke akujibu message zako

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Wakuu, nimeona thread mbalimbali hapa jukwaani wanaume wakilalamika kupokea majibu ya ajabu kutoka kwa wanawake Mfano unakuta kuna demu mkali beki hazikabi umesota mbaya kabisa ukapata namba zake ukimtumia message anakujibu "lol" "k""Nop" na n.k leo nimeona mimi Associate Professor wa chuo kikuu cha "madomo zege" Africa mashariki niwape kidogo mbinu za kivita ya jinsi ya kumfanya mwanamke akajibu text yako iko hivi .

1) Usiwe mtu unayeboa na kutabirika hili ni kosa kubwa sana kufanya kwa mwanamke Mfano.unataka kuanzisha mazungumzo na mwanamke kupitia text alafu unatumia "mambo" au "hey" au "mzima" au "vipi" unategemea akujibu nini? ni wanaume wangapi wanamtumia txt kama hizo kila siku?kwanini usiwe unique !! na umpe sababu ya kukujibu Mf.unaweza kumwambia "Bet you can't stop thinking about me" au unaweza kumuuliza "Any idea what I m thinking about right now."

2) Get personal

Text messages can feel a little impersonal at times, so do your best to make them as personal as possible, when you can. This will create more of a rapport between the two of you. tumia jina lake in a message girls get a real thrill from seeing their name in a message, there's something much more intimate about it. Alternatively, you could use the special nickname you've christened her with uwe na jina zuri unalopenda kumuita Mfano.little Angel. Miss perfect. Princess na n.k hata ukitumia namba mpya direct atajua ni wewe this makes it feel like the two of you are sharing an inside joke. Use the terms "us" and "we" in your messages -- this creates a "me and you against the world" vibe that girls love.

3) Mpe "vicompliment"
It's pretty simple girls like to be complimented, it makes them feel special and appreciated. Mfano kama umekutana nae siku hiyo unaweza kumtumia message "I can't stop thinking about you in that dress" au unaweza pia kumwambia"Actually blue is ur colour"(kama alivaa gauni zuri la rangi ya blue na ukalipenda).

4) Mtanie kidogo
Teasing is a great flirting method it creates a kind of intimacy between you without getting too serious. Mfano unaweza kumtumia text "ujaacha tu kunifikiria?" au unaweza kumwambia "Hope ur day was filled with laughter sweet surprises and of course ME!!" Just make sure you don't cross the line into being mean or offensive.

5) Text zako ziwe short and clear
Usipende sana kutuma message ndefu na uepuke message za kuforwad (wanawake wengi hawapendi) lakini kumbuka ziwe nzuri kwelikweli kikubwa zaidi Guess her answers . Another way to have fun and keep your texts to girls interesting is to guess her answers. This is a great way to spice up your texts to girls, separate yourself from other guys, and ultimately get the girl interested in you. mfano sio unauliza tu uko wapi?? unafanya nini?? jaribu kubunia anafanya nini au yuko wapi ili kama umekosea atakusahihisha.

6) Send an equal number of messages
There should be a certain amount of equality in every texting relationship -- one person should not be sending a substantially larger number of texts than the other sio unamtumia txt kumi alafu anakujibu moja utaonekana lofa.

7) Don't let the conversation drag on
One of the most important texting skills to learn is the ability to end a dying conversation.jaribu kuwa mjanja kwenye kubadilisha mada iliyokosa mvuto sio uinganganie ndio mwanzo wa kujibiwa lol k nop n.k tena mademu wengine hawakujibu kabisa unaishia kusema yule demu anadharau kumbe ujinga wako The trick is to end the conversation before you reach that point, so you can always leave her wanting more.
Kama swaga zimekata sio lazima uchat unaweza ukamwambia "Time for bed - need to get my beauty sleep. See you in your dreams!" au unaweza kumwambia "gota go cuttie kuna kazi nafanya sasa nitakucheki baadae Don't get into too much trouble without me!"

NB: Usisahau kumtumia text nzuri ya usiku mwema na asubui akiamka akute message nzuri takayomfanya a smile the first thing in the morning

Akikujibu tena majibu ya kishamba (lol k nop Y) Njoo nikate mguu



Professor kilaza.
 
1) usiwe mtu unayeboa na kutabirika
hili ni kosa kubwa sana kufanya kwa mwanamke Mfano.unataka kuanzisha mazungumzo na mwanamke kupitia text alafu unatumia "mambo" au "hey" au "mzima" au "vipi" unategemea akujibu nini?? ni wanaume wangapi wanamtumia txt kama hizo kila siku??? kwanini usiwe unique !! na umpe sababu ya kukujibu Mf.unaweza kumwambia
"Bet you can't stop thinking about me" au unaweza kumuuliza "Any idea what I ' m thinking about right now??" nimeipenda hii ila huku kwingine kwenye kiinglishi nimeona uvivu kwa kweli!!!!!!!!!
 
Mambo Blue G?
1) usiwe mtu unayeboa na kutabirika
hili ni kosa kubwa sana kufanya kwa mwanamke Mfano.unataka kuanzisha mazungumzo na mwanamke kupitia text alafu unatumia "mambo" au "hey" au "mzima" au "vipi" unategemea akujibu nini?? ni wanaume wangapi wanamtumia txt kama hizo kila siku??? kwanini usiwe unique !! na umpe sababu ya kukujibu Mf.unaweza kumwambia
"Bet you can't stop thinking about me" au unaweza kumuuliza "Any idea what I ' m thinking about right now??" nimeipenda hii ila huku kwingine kwenye kiinglishi nimeona uvivu kwa kweli!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sikuhizi kuhonga ndo kila ki2,mapenzi ya kweli hamna we honga tu km hawatakuwa wanakutafuta wao,haina haja ya kubuni mbinu,ila nitajaribu nikiona mabadiliko nitabadili mawazo juu ya mapenzi.
 
Mawazo mazuri lakini sidhani kama yana-apply kwa kila mazingira.Kumbuka hii ni tabia,huwezi kui-force, mfano kujibu equal texts,or "I bet you can't stop thinking about me" those are things at the right place and time ukikosea unaweza kuboa..zaidi ya mawazo yako mazuri I think pia cha msingi jua ni nani unachat nae,elewa mazingira yanayomzunguka and be in a honest chat don't pretend .....

kuna watu kibao wanaosona mitandaoni namna ya kufanya hivyo hivyo unavyofanya and probably they do better....Get to know someone's else environment,you will have wishes to say,challenges to talk to and success to encourage...hakuna mtu asiyependa kuona unamjali kwa kile anachofanya.
 
Mkuu kama utaweza, samahani lakini, kutusaidia na mbinu za kujenga nyumba za gharama nafuu, tafadhali sana tusaidie, kodi zinaweka ndoa zetu rehani, natanguliza shukrani!

oopppsssssssssssssss
 
Kwa michango hii ya hele, hela, hela...... Natamani kumuunga mkono aliyetoa mada ya 'Asilimia kubwa ya wanawake Wanajiuza japo hawajitambui' Namwomba mungu aniongezee maisha marefu kuna mengi nahitaji kuona na kushangaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom