Wanaume mnaolalamika wake zenu kuchepuka kwani wanachepuka na nani?

bikira latifah

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
594
1,351
Hapa JF kuna mada zimepamba moto sana wanaume wanalia kila siku na kupeana mbinu za kututuliza wanawake tusitoke nnje eti, mara sijui mpe pesa mara kitandani sijui goli nyingi

Wanaume hao hao wanaokuja kulia lia hapa wanamichepuko kibao nnje yani kitu nilichogundua ni kwamba wanaume asilimia kubwa wana michepuko na wote wanawivu hawataki kuchapiwa. Sasa wewe ukitoka na mke wa mtu unategemea mke wa huyo mtu akipunguza mapenzi kwa mmewe, mmewake unazani kinachofuata ni nini? Ni lazima na yeye amvizie mke wako apate mapenzi.

Yaani kuchapiana ni kama mzunguko, ukila cha mwenzio na chako kitaliwa tu , wanaume mkitulia ndio habari za wake za watu kutoka nnje hamtoziskia, maana wake za watu wanaliwa na wanaume sio majini. So anayetakiwa kuja kulalamika hapa ni mwanaume mtulivu sio unawanawake 6 nnje unakuja kulia lia hapa wakati ndio wale wale.
 
Bikra haimtulizi mwanamke usikalili .

Mwanamke ni rahisi kumtawala ikiwa ulimkuta bikra kwani wewe ndio mwalimu wake, baba yake, first love wake.

Lakini ukimkuta ni shimo la tewa huna utakalo mwambia mwanamke, ndio hayo unasikia mwanamke haeleweki kama usivyoelewa wanaume wangapi aliolala nao kabla yako.

Karibu
 
Mwanamke ni rahisi kumtawala ikiwa ulimkuta bikra kwani wewe ndio mwalimu wake, baba yake, first love wake.
Lakini ukimkuta ni shimo la tewa huna utakalo mwambia mwanamke,ndio hayo unasikia mwanamke haeleweki kama usivyoelewa wanaume wangapi aliolala nao kabla yako.

Karibu
Bado hujatujua wanawake na bado huwezi kutujua kwa kuwa sio jinsia yako narudia tena bikra hamtulizi mwanamke kwenye ndoa .
 
Nenda shule ukajifunze maana ya bikra kisha uje kuchangia. Sijubugi watoto au watu wenye akili ndogo
Nijifunze kitu ambacho nilishakitoa ili iweje una akili ndogo sana wewe komaa na bikra na wanaume wenzio hawatokuelewa kamwe na wataoa wasio kuwa na bikra achana na nguvu ya kupenda.
 
Mimi sijawajua wanawake msio na bikra kama nisivyojua idadi ya wanaume mliolala nao. Lakini mwanamke bikra namfahamu na kumjua vizuri mno.

Hivi unawezaje lala na wanaume zaidi ya mmoja kama mbwa asee
Mwanamke bikra unamfahamu mkeo au wote waliokuwa bikra
 
Nijifunze kitu ambacho nilishakitoa ili iweje una akili ndogo sana wewe komaa na bikra na wanaume wenzio hawatokuelewa kamwe na wataoa wasio kuwa na bikra achana na nguvu ya kupenda.

Wewe ndio hutonielewa kwa sababu ushavunja kufuli lako pasipo funguo ya mumeo.

Akili kubwa ni kufanya umalaya safi sana👏👏👏
 
Back
Top Bottom