Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,108
Poleni na majukumu wana-Jf wenzangu.
Katika maisha ya kawaida tunazungukwa na majirani na marafiki katika mambo mbalimbali ya kijamii.
Maandiko matakatifu yanatuambia wazi tujihadhari na wanadamu, pia wahenga hawapo mbali sana na usemi huo kwani wao wanadai adui yako ni mtu wa nyumbani kwako (hatoki mbali).
Katika maisha ya kawaida tunashuhudia majirani na marafiki wakitupaka mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa bila sisi kufahamu.
Unaweza kumshirikisha mtu mambo yako kumbe kwa upande wa pili anakuhujumu ili usiendelee.
Je, rafiki/jirani yako aliwahi kuwa adui yako katika mazingira yapi, ilikuaje?