Wadada hapa huwa hamna tofauti na wanaojiuza

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,709
8,007
Habari JF,

Katika mzungumzo na baadhi ya wadada ikazuka hoja kuwa suala la sisi wanaume kutowapa hela au kuwapa 10,000 tu baada ya show ni ubahili.

Hili suala limenifanya niwaze sana kuwa kama mdada anakuja kushiriki tendo akiwa na mawazo ya kupata fedha baada ya show ana tofauti gani na yule anayejiuza barabarani?

Na ambaye huwa unampa hela baada ya show siku usipompa basi anatuuuna.

Huwa tunajitahidi kulipia usafiri na wakati mwingine lunch au dinner.

Hili suala la kutaka hela baada ya show wadau mnalionaje?
 
Magufuli katufanya wote tupate raha. Wewe unaeona 10000 ndogo, nyie ndio mlikuwa mnahonga hadi ss maskini tulipata shida kupata watoto wazuri. Ukitongoza demu anakuuliza unafanya kazi gani? .Ila kwa sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Hapa kazi mtaji mashine , ukimkuna vizuri hata yeye anafunguka ili asikupoteze. Mana mabango ya nguvu za kiume brbrn ni mengi
 
Habari JF,

Katika mzungumzo na baadhi ya wadada ikazuka hoja kuwa swala la sisi wanaume kutowapa ela au kuwapa 10,000 tu baada ya show ni ubahili....Hili swala limenifanya niwaze sana kuwa kama mdada anakuja kushiriki tendo akiwa na mawazo ya kupata fedha baada ya show anatofauti gani na yule anayejiuza barabarani?...Na ambaye huwa unampa ela baada ya show siku usipompa basi anatuuuna....Huwa tunajitahidi kulipia usafiri na wakati mwingine lunch au dinner...Ila hili swala la kutaka ela baada ya show wadau mnalionaje?,,,Mapovu ruksa.....
Wewe kipampa wa mwanza ukuje huku unaitwa..!
 
Kama anakuja kushiriki tendo akiwa na mawazo ya kupata fedha baada ya show ni rahisi pia kukulaumu wewe mwanaume kwamba hujamridhisha wala hauna ufundi wowote kitandani.
 
Wanawake wote wanajiuza tu, yule ambaye hakwambii ni vile tu anajua upo naye na kuna namna unayolipia huduma.... naikubali ile kauli ya mabaharia.
 
Habari JF,

Katika mzungumzo na baadhi ya wadada ikazuka hoja kuwa suala la sisi wanaume kutowapa hela au kuwapa 10,000 tu baada ya show ni ubahili.

Hili suala limenifanya niwaze sana kuwa kama mdada anakuja kushiriki tendo akiwa na mawazo ya kupata fedha baada ya show ana tofauti gani na yule anayejiuza barabarani?

Na ambaye huwa unampa hela baada ya show siku usipompa basi anatuuuna.

Huwa tunajitahidi kulipia usafiri na wakati mwingine lunch au dinner.

Hili suala la kutaka hela baada ya show wadau mnalionaje?
Nikimpa nyingi baada ya shoo ni buku tano
 
Hela unayotoa baada ya show sio kuhonga ni ya matengenezo maana hata gari ikienda safari ndefu lazima uipeleke garage. Toa pesa mwanamke ale vizuri kitumbua kiendelee kuchanua wewee
Hayo matengenezo ni kwake tu au kwa wote (mwanamke na mwanaume)? Huhitaji akili kubwa kung'amua kuwa mwanaume ndiye anayehitaji matengenezo baada ya show.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom