Je ingekuaje kama Kitunguu kingekuwa Demu?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
We imagine tu mtu anavyokikata kata lazima atoe machozi iwe ke au Me,
Ingekuaje kama kitunguu kingekuwa demu?

Angekuwa bonge moja la star , mzuri kuliko wanawake wote , penzi lake matata ndio kabisa ,wanaume wenye pesa na makapuku wangekuwa wanamfukuzia kinyama,

Alafu unajua kitu kingekuja tokea , Miss kitunguu angekuwa siyo mchoyo kabisa,angekuwa kama wale mademu wa chako ni chako yaani ukimtongoza tu anakubali anakupa penzi lake tamu ukishanogewa tu anakupiga chini anaamia kwa jamaa mwingine,

Hapo lazima ulie , si mnajua kilio cha mapenzi kilivyo , kilio chake siyo kilio tu ni kilio cha Cha mbwa Koko.

Je kwa mtazamo wako ingekuwaje kama Kitunguu kingekuwa Demu?
 
Miss kitunguu
KITUNGUUMAJI.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom