Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇
Yaani mwanaume...
Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa...
Habari za usikuu huu JF,
Kuna binti wa humu JF alinifuata kwenye inbox yangu na kusema naye anashida na mtoto, yeye yuko DSM, mimi niko mikoani.
Tukaanza mawasiliano yeye ni mwanachuo, basi...
Nawasalimu kwa Jina la Jumhuri wakuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Tendo la ndoa ,ili lifanyike vizuri na Kila mmoja aweze kufika kilele Cha Raha ni jukumu la Kila mmoja kuwa na utayari wa...
Salaam wana jukwaa!
Miaka ya nyuma nikiwa shule nilikuwa na mpenzi (ambae tulianza mahusiano tukiwa kidato cha 3), huyu mpenzi alinipenda kwa kuwa nilikuwa napata mia kwenye hisabati na fizikia...
Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala...
Kuna tabia wadada wanaweka picha kwenye profile zao ambazo siyo halisi. Yani unakuta kajipiga picha halafu anaifanyia manjonjo wewe una base kwenye picha hiyo lakini ukija kumuona ni vitu viwili...
Kama ambavyo tunaelimishwa kila siku madhara ya kuvuta sigara, na bado mpaka madaktari wanavuta, na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe, lakini watu wanajikuta wamefika bar, bila hata ya kujijua...
This is true story!
Kipindi naingia mwaka wa pili chuo nilikutana na dada mmoja hivi ambaye nilitokea kumpenda, ilikuwa hivi: Ilikuwa mida ya mchana kama saa 7 au 8, kama sikosei. Tulikuwa na...
Woooozaaa inakuaje wadau habari zinakwendaje...
Kama ilivyo ada nimekuja na mada mpya kwa wanaume yani kwamba uliichukuliaje ile first rejection kipindi unajifunza kumendea tunda la kati...
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja.
Sasa naona...
Habari wakuu,
Natumai mko na furaha na amani tofauti na mimi. Hapo nyuma nilikuwa nawashangaa sana vijana wengi tu ambao wanaponda sana kitu kuoa. Nilikua nikiwabeza sana na kuhisi kama...
Wanawake hasa wadada, mnapotongozwa na Wanaume na kujibu; Nipo kwenye mahusiano huku ikiwa si kweli, haupo kwenye mahusiano yoyote; Upo unasikilizia kwa Mwanaume atakayekuja, ila jibu la nipo...
Nikiwa nje ya kitanda huwa akili na hisia zangu zipo katika kula mzigo. Kiasi ambacho nikiongea na demu kwenye simu tu jogoo anawika. Nikikaa na demu karibu, mnara unasimama nganganga.
Sasa...
Wasalaam,
Maisha ya family na Ndoa yanahitaji hekima na Busara kwa wanandoa wenyewe na pande zote za muunganiko huo unaotengeneza family kubwa.
Rafiki zangu wengi au pengine hata wewe hapa...
Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa.
Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo;
1} Akudharau
2}...
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni...
Kuna dada niko nae kwenye mahusiano ila ni msimbe na maanisha aliwahiwa kuolewa na jamaa mwingine ila mimi na yeye tunapendana sasa mwenzangu ananiambie tuoane ila mimi naogopa kuchukua wowote...
Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela...
Vitu 10 Ambavyo Wanawake
Wamewazidi Wanaume...![emoji116]
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na
Wakipenda Hupenda Kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.