Tendo la ndoa linahitaji ushirikiano, gawaneni majukumu muwapo kitandani

Dagger-v

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
2,211
2,000
Nawasalimu kwa Jina la Jumhuri wakuu

Tendo la ndoa ,ili lifanyike vizuri na Kila mmoja aweze kufika kilele Cha Raha ni jukumu la Kila mmoja kuwa na utayari wa akili na mwili , Ikitokea mmoja wapo hajawa tayari kiakili bhac ni wazi ataulazimisha mwili tuu na matokeo yake ni kutomridhisha mwenza wake
Lakini pia swala la usafi ni muhimu sana kizingatiwa ili kuweza kuleta msisimuko na hamasa ya kushiriki

Kwa upande mwingine wanawake wamekua kama wasindikizaji kuanzia mwanzo wa tendo wao wanataka kuanzia kuandaliwa kiakili mpaka kimwili , ,najua wazii kutokana na nature imepekea kuwa hivyo lakini hiyo imewafanya wengi kuwa wavivu na hata kupelekea wanaume wengi kupungukiwa na hamasa ya kushiriki au kutoendelelea na tendo

Wanaume wengi baada ya mzunguko wa kwanza hamasa inapungua ama kuondoka kabisa kwakua ,wanawake wanajisahau au hawajui kujiweka katika mazingira ya kumhamasisha mwanaume kuendelea na tendo ,


Wapenzi na wanandoa Gawaneni majukumu muwapo kitandani
 

JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
2,611
2,000
Mwanaume ukishakuwa stress free inatosha.

Mwanamke emotional free, stress free, financial free, hunger free, hedhi free, etc.

Ukiachana na hedhi, mengine mwanaume anatakiwa ayaondoe ili tendo lifanyike kifasaha.

Akikosea moja mwanaume anapata stress mechi inaharibika anatangazwa ana kibamia.
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
14,530
2,000
Yaani kuna wanawake hawajui kabisa lolote kitandani.

Ila sasa kuna wengine ni hatari,baada ya goli moja mtoto anaanza kukuchezea vinipples na ulimi mara hivi mara vile,mara aongee nasty words kwa sauti laini..unakuwa kama umepata electric shock..inakuwa good Sex
 

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,749
2,000
Mwanaume ukishakuwa stress free inatosha.

Mwanamke emotional free, stress free, financial free, hunger free, hedhi free, etc.

Ukiachana na hedhi, mengine mwanaume anatakiwa ayaondoe ili tendo lifanyike kifasaha.

Akikosea moja mwanaume anapata stress mechi inaharibika anatangazwa ana kibamia.
Ila kuna viba100 vingine jamani ni vikorofi sheikh
 

Mnyalukolo Vahukaye

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
425
500
Wanawake wakijiachia sana kitandani wanakua malaya

Wakivunga na kuzuga wanakua magogo

Maisha ya Kwenye kitanda ni magumu kwa wanawake, kikubwa ni mwanaume kumjengea mazingira mwanamke ajiamini
Wakat mwngine hata me hula ili ashibe na sio kushibisha ke wake

Wote tunaeza kua na matatizo kwenye hii k2 lkn ke mmezid kuzingua

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom