Nimechoka kudanganywa na vijana natafuta jibaba

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,946
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka).

Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha.

Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.
 
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka). Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha. Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.

Mhhhhh! Kuna mtu hapa labda atapata kutunukiwa bahati ya hali ya juu :):):)...Mie nakutakia kila la heri ili ufanikiwe kupata kile ukitakacho.

Last edited by a moderator:
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimeamua kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka). Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha. Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.

Hivi kumbeee.............. Miaka $40 mpaka $50 ndio wanaofaa eh!
 
ngoja na hilo lizee likuzingue ndio utatia akili......instead kujichunguza ulikosea wapi vijana wote wakakuzingua,wewe unabadilisha mawindo....ngoja na hapo patoe the same result sijui utajiita una mkosi au????pole kaa tayari kuanza kuwa compared na wasichana wake aliowapitia....oooh mke wangu alikuwa hivi mbona wewe hunifanyii hivyo....halafu kujifanya wajuaji ndio wenyewe humshauri kitu,mnh lastly kimoja chake yuko hoooooooooooi...tafuta kijana mwenzio mpange maisha wewe....au hujiamini?
 
40 mpaka 50??? Huyo atakuwa mbabu asee! Chukulia umpate afu akuzalishe mtoto, atamaliza lini kumlea? Mtoto akiwa na 10yrz mama una 37 baba 47 au 57!! Khaa.
 
ngoja na hilo lizee likuzingue ndio utatia akili......instead kujichunguza ulikosea wapi vijana wote wakakuzingua,wewe unabadilisha mawindo....ngoja na hapo patoe the same result sijui utajiita una mkosi au????pole kaa tayari kuanza kuwa compared na wasichana wake aliowapitia....oooh mke wangu alikuwa hivi mbona wewe hunifanyii hivyo....halafu kujifanya wajuaji ndio wenyewe humshauri kitu,mnh lastly kimoja chake yuko hoooooooooooi...tafuta kijana mwenzio mpange maisha wewe....au hujiamini?

Nimekuwa na vijana wawili kwa wakati tofauti..........ila wote utulivu hamna, heri mtu mzima atanliwaza kuliko hwa vicheche
 
Nakadori hayo masharti uliyoweka ni kama vile unataka kumuumba mwenyewe. Mdogo wangu kumpata atakayekidhi vigezo vyote hivyo itakuwa shida na ni lazima atakuwa na weakness nyengine ambazo zitakuudhi tu.

Na ukichagua hivyo wakati wewe umri ndiyo unakwenda hapo ndiyo kwenye matatizo.

Kama alivyokwambia Jestina vibabu havishauriki shauri yako. Hao uliowaweka katika age group uliyoweka ndiyo kiuchumi wako stable na wao bado wanajiona vijana basi kwa kumwaga fedha ndiyo wenyewe hao maana wanataka kujionyesha kwamba bado wanayaweza.
 
Nimekuwa na vijana wawili kwa wakati tofauti..........ila wote utulivu hamna, heri mtu mzima atanliwaza kuliko hwa vicheche
Sasa siku hizi wazee ndio wanaoongoza kwa ukicheche....ila hata kama umeamua kutafuta mtu mzima hiyo miaka ipunguze kidogo...
 
Nakadori hayo masharti uliyoweka ni kama vile unataka kumuumba mwenyewe. Mdogo wangu kumpata atakayekidhi vigezo vyote hivyo itakuwa shida na ni lazima atakuwa na weakness nyengine ambazo zitakuudhi tu.

Na ukichagua hivyo wakati wewe umri ndiyo unakwenda hapo ndiyo kwenye matatizo.

Kama alivyokwambia Jestina vibabu havishauriki shauri yako. Hao uliowaweka katika age group uliyoweka ndiyo kiuchumi wako stable na wao bado wanajiona vijana basi kwa kumwaga fedha ndiyo wenyewe hao maana wanataka kujionyesha kwamba bado wanayaweza.

Sasa dadaa yangu hebu mie niambie mdogo wako nifanyeje??? maisha mimi vijana wananitoa jasho kweli, anajifanya anakupenda kumbe huko nyuma anacheat kwa wengine, au huoni hii ni balaa dada
 
duuu mapenzi siyapendi mimi full stress...........

Love isn't finding a perfect person. It's seeing an imperfect person perfectly
 
Ungekuwa hivo watu wangeshafika bei. Hamna mwanaume duniani asiyependa vitu vizuri vyenye viwango!

Kwanza mapenzi niliyaanza nikiwa na age ya 25 huoni kama nina miaka miwili tu kwenye mapenzi???? pia hao nimewaacha mimi baada ya wao kuwa vicheche....hawajaniacha wao
 
Mimi m ni mwanamke mwenye umri wa miaka 27 ninayejishughulisha na niko focused. Ninasikitika kusema kuwa toka niyajue mapenzi nimekuwa ni mtu wa kutendwa tu kwenye relationship na wapenzi ambao ni vijana. Nimefika kutafuta baba mwenye umri kuanzia miaka 40-50 ambaye ni single (labda alifiwa na mke, au alipewa talaka). Awe tayari kupima HIV, dini awe mkristo, elimu ya chuo kikuu, asiwe mfupi ila mrefu wa wastani, asiwe na kitambi ila awe na mwili wa wastani, awe anayefanya mazoezi ya viungo mara kwa mara (sio lazima kila siku), awe anajishuhulisha na kazi au biashara, kwa umri huu awe ameshafanya baadhi ya investments za maisha. Atakaebahatika atapata mapenzi motomoto na ya ukweli.. Mwenye vigezo hivyo atakapopatikana dirisha la usajili litafungwa muda wowote.

Niko zaidi ya serious katika hili.
Sifa zote ninazo tatizo langu moja napenda tigo je ua ok? Kama ok safi tuwasiliane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom