Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa. Kuhusu dini yeye...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana MMU? Nilikuwa na rafiki yangu tulisoma pamoja chuo, wakati tupo chuo kiukweli hali yake ya maisha hata kipindi tupo chuo ilikuwa ni ngumu sana na mimi ilikuwa niyakawaida tu japo wote...
18 Reactions
61 Replies
7K Views
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu...
17 Reactions
76 Replies
7K Views
Kwema wakubwa? Wife alisafiri kama week hivi imepita..home akaniacha mimi na dada wa kazi. Sasa me toka juzi nilikuwa silali home, nilikuwa nalala kwa mchepuko wangu flani hivi hapa mtaani...
17 Reactions
58 Replies
9K Views
"Mke wangu ni mke wangu, mapito yake ni mapito yake, yameshakuwa historia. Ikiwa umewahi kulala naye au unajua watu ambao wamelala nae hiyo ni juu yako, walifanya kwa muda wao kila mmoja akaondoka...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Unakuta kijana ameoa au ameolewa hata mwaka haujaisha unashanga anakwambia hana raha na ndoa yake mwingine anakwambia anajuta kuoa au kuolewa anatamani ndoa ivunjike ila kwa sababu ya wazazi...
14 Reactions
112 Replies
15K Views
Kuna jamaa angu tunaishi mtaa mmoja na tunashauriana vitu vingi kama vijana tuliooa tayari Jamaa yeye kiukweli ni bonge la mchepukaji me simfikii amekuwa na hiyo tabia for a long time mke wake...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Men, If you get a chaste woman, a pure woman, undefiled woman, a virgin woman, don't disappoint her. Don't disgrace her her. Such women are rare. Best relationships are established when a lady...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
"SINGLE MOTHER'S WANAWAHARIBU WATOTO WAO TABIA" "Wazazi tuna nafasi kubwa sana ya kuwasaidia wasichana kusimama lakini kwa sababu ya mambo mengi na dunia ilipo, tunawahonga na tunawaogopa watoto...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema sitasahau siku mwili uliponiwasha nikajipeleka maeneo flani hivi ambako bitch wanapatikana kwa 5000 baada ya kumaliza haja yangu nilitamani kulia maana nilijua HIV...
22 Reactions
270 Replies
62K Views
Wakuu habari za mida. Direct kwenye mada, baada ya kukaa single muda mrefu nikaona nitafute pisi kali nikae nayo kwa muda ikikaa mkao niingize ndichi. Kama miezi miwili imepita nimekutana na pisi...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata...
3 Reactions
101 Replies
15K Views
Mahusiano yenye afya ni yale yanayokupendezesha na kukupa furaha tangu ulipoingia kwenye hayo mahusiano,na kukufanya kuwa:- Smart/ usafi wa mavazi na mwili kuwa mwenye furaha muda wote Mwili...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena, tunarudi kwenye jukwaa letu pendwa la MMU, Mbarikiwe nyote mnaofanya hii platform ichangamke kwa experiences mnazojumuika nasi humu, tunajifunza na kuyaepuka makosa...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Baba Jayrose na mama Jayrose waliona 2005. Wakati huo mama Jayrose amemaliza form six lakini changamoto za maisha zilikua nyingi na alikubali kuolewa. Baba Jayrose ni muajiriwa wa kampuni ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Hivi haya mambo ya Watanganyika kuvaa Mawigi na kubandika Kope wameyatoa wapi? Wengine wanajichubua wafanane na Wapemba. Aibu! Nipo hapa Zanzibar, nmefikia Kilimani. Nimefurahi...
11 Reactions
30 Replies
5K Views
Wanajamvi hii imetokea ni rafiki wa mama kaja kushtaki mwanawe kamtukana hivyo, baada ya kumsema mwenendo wake hauridhishi atapata mimba isiyo na baba. Akamtamkia maneno hayo ila kaka wa yule...
8 Reactions
209 Replies
30K Views
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu...
5 Reactions
93 Replies
7K Views
Hello, Not all people watakucheka na kukusema, but nimeona watu wengi ambao walishajijengea reputation mbele ya jamii kuwa wana hela nyingi, wakifulia tu..maneno ambayo huwa wanasemwa kama ni...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Salaam wana jukwaa. Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom