Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Picha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii. Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ...
7 Reactions
160 Replies
10K Views
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa. Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
Mabinti zake Lutu baada ya angamizo la Sodoma lililoondoka na mama yao mzazi.... Pamoja na nia yao ya kuendeleza KIZAZI lakini pia hamu(ashiki[emoji23]!) Viliwatuma wapange ku do na baba yao mzazi...
23 Reactions
96 Replies
8K Views
Habari wakuu? Sijui nina tatizo gani aisee,yaani nina tabia ya kukinai kila mwanamke ninaekuwa nae katika mahusiano bila sababu yeyote. Mfano kuna binti mrembo tu nilitumia nguvu zangu nyingi...
11 Reactions
85 Replies
12K Views
Ni story ya miaka takribani 14 iliyopita, leo tukiwa kwenye sherehe za kipaimara cha mwanae Anne ndio akanikumbusha Ilikuwa hivi.... Baada ya ndoa huko kijijini mkoa mwingine jamaa alirudi Dar na...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Hatimaye Ametiki(Based on true story) Ilikua mwaka 2014 katika chuo cha elimu ya biashara(CBE) Tawi la Mbeya nilikuwa mwaka wangu wa pili nikichukua stashahada ya usimamizi wa biashara (diploma...
6 Reactions
195 Replies
22K Views
Wasalaam, Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani...
8 Reactions
359 Replies
45K Views
Macho yanachekaaa, moyo unaliaa Macho yanachekaae,moyo unaliaa Nikimkumbuaaa wangu maridhia, Nikimkumbuuka wangu maridhiaa, Chozi hunitoka kwa zake tabiaaaa, Chozi hunitoka mie kwa zake tabia...
3 Reactions
23 Replies
10K Views
Ndugu zangu, Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kama miezi miwili mwanzo sikujua kama pacha mpaka aliponitambulisha kwa pacha mwenzie wanafanana sana. Tatizo wamenigeuza (sex machine)...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe. Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile . Napenda kuuliza, hivi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa maumivu yasiyo na kifani Nilianza kuishi na mke wangu huyu 2008 kabla ya ndoa na tukabahatika...
15 Reactions
280 Replies
32K Views
Kama wewe ni muhusika basi husika na kichwa cha habari. Mimi ni kijana wa miaka 36, na ni baba pia wa mtoto mmoja wa kiume. Nilikimbiwa na mwanamke baada ya kuyumba kiuchumi na mpaka sasa bado...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Fikiria uko mjini unakatiza mitaa mara paaap wife na mshkaji halafu wako huru wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui wala nini. Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanyaje? Utawapa hai na...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Jamaa alikuwa mnoko sana akawa ananichongea kwa boss ili tu kitumbua changu kiingie mchanga na kweli alifanikiwa kikaingia kwelikweli. Wakati tupo kazini mke wa jamaa alikuwa anakuja kuja...
12 Reactions
76 Replies
9K Views
Habar wadau! Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nao kwa tahadhari sana tena hasa hasa...
9 Reactions
121 Replies
9K Views
Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto. Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa...
45 Reactions
179 Replies
17K Views
Wakuu, Naandika hapa kama sehemu ya kuomba ushauri pia. I have my wife, over recently tumekuwa na mikwaruzano ya hapa na pale chanzo kikiwa ni yeye kwenda kinyume na utaratibu tuliojiwekea...
14 Reactions
264 Replies
27K Views
Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Natumaini ni wazima wa afya na poleni na majukumu. Niingie kwenye mada. Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache...
17 Reactions
148 Replies
10K Views
Back
Top Bottom