Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,384
980
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja.

Sasa naona wanawake wengine wazuri na wanaojipenda zaidi yake na nikiangalia yeye alivyo hajipodoi podoi yupo yupo tu na hana sexy body yaani havutii kabisa mpaka saa nyingine najisikia aibu.

Yaani nashindwa kujua nifanyeje kumwacha namwonea huruma sana.
 
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu
Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua coz huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi CHUO kikuu pamoja
Sasa naona WANAWAKE wengine wazuri na wanaojipenda zaidi yake na nikiangalia yeye alivyo hajipodoi podoi yupo yupo tu na Hana sexy body yaani havutii kabisa mpaka saa nyingine najisikia aibu
Yaani nashindwa kujua nifanyeje kumwacha namwonea HURUMA SANa

Si umshauri ina maana gani ww kuwa mkuu wa kaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom