Ulichukuliaje first rejection enzi hizo unajifunza kutongoza

frenderPH

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
619
804
Woooozaaa inakuaje wadau habari zinakwendaje...

Kama ilivyo ada nimekuja na mada mpya kwa wanaume yani kwamba uliichukuliaje ile first rejection kipindi unajifunza kumendea tunda la kati (kutongoza )

Okay kwa upande wangu nakumbuka ilikua 2009 hivi nilikuaga ndo nimeanza kubalehe mihemko ya kutafuta Pussy ndo ilikua imeanza yani kila mda nikikaa akili inawaza kitu kimoja ambacho ni sex ambacho kila mwanaume lazima alipitia hii situation

Nilimtongoza demu mmoja hivi enzi hzo sasa kama mnavyojua kwa mara ya kwanza uoga unakuaga mwingi kinoma yan mtu unakua hujiamini, basi nilikua sijiamini for sure nikafanya kumuita mrembo kweli akaja kunisikiliza afu kiukweli uyo mwanamke alikua Pisi ya maana ebana eee.... kuna wanawake humu duniani Mungu kawaumba vizuri bana ilo kudhihilisha hii dunia imeumbwa ili tuburudike Basi nikarusha nyavu zangu kiuoga hvo hvo ,kwa kua uvuvi wangu ulikua haramu sikua na maneno ya ushawushi.

Demu alichomoa Live Daaaaah asee roho iliuma kinoma mpaka nikahisi nina matatizo gani mbona washkaji zangu wanapata Pisi kizembe afu nikijiangalia mimii nnaFight knoma lakini wapi.. Basi nikabidi nikaze buti
Nikaendelea kutongoza tongoza mpka nikaanza kuzoea hali ya kukataliwa afu mda huo nnakua nnaexpand maujuzi

Lakini hizi Nguvu zote nilizipata baada ya kupata kamsemo niliambiwa na Baba angu coz baba yangu enzi hizo nakua alikua mtu wangu wa karibu sana aliniambia kwamba NI VIBAYA SANA KUACHA KUJARIBU UKIWA UMEKOSA UNACHOKITAFUTA basi ASAP nikaanza kufight mpk nikazoea saiv ni kitu cha kawaida sana Coz kunawatu nawakataa na kuna watu wananikataa So life is full of disapointment


ILIKUAJE KWAKO MZEE WA KAZI
 
Mimi siku ya kwanza nilimuita mrembo akaja nikamsalimia MAMBO" akajibu POAH" basi ikawa tunatazamana tu hadi demu akaondoka huku amenuna.
haha hapo ulikua muoga sio rejection hio
 
Nilimwambia nampenda akaniambia nisubiri jibu wiki ijayo
kumbe kuna cameraman kashaanza kujenga kikambi
wiki tatu baadae niliambiwa na mrembo tulia dogo
Hapo hasira zikaishia chaputa
 
Nilimwambia nampenda akaniambia nisubiri jibu wiki ijayo
kumbe kuna cameraman kashaanza kujenga kikambi
wiki tatu baadae niliambiwa na mrembo tulia dogo
Hapo hasira zikaishia chaputa
 
Niliita mtoto wa watu kutonqoza saut ikawa haitok najisikia mwenyew..Dem ikabd aseme me sikuelew, then kafyonza na kuondoka.cjui nilishikwa koromeo na jinamiz gan aisee alipofika mbali kidogo saut ikarudi mpyaaa!!😃😃
 
Niliita mtoto wa watu kutonqoza saut ikawa haitok najisikia mwenyew..Dem ikabd aseme me sikuelew, then kafyonza na kuondoka.cjui nilishikwa koromeo na jinamiz gan aisee alipofika mbali kidogo saut ikarudi mpyaaa!!😃😃
Ha ha haaaa...........nimecheka kwa sauti aisee 🤣🤣🤣
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom