Mwanachama #001
Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.
Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU...
Hili wakuu lipoje? Mara nyingi mno nimewahi kushuhudia wanawake wakiweka malengo ya maisha na watoto wao mara baada ya waume zao kufariki. Je, kwa mini wanajiaminisha haya?
Inaonekana mwanaume...
Habari zenu wananchi.
Leo nimetafakari jambo moja, kwanini watu wanaotoka bara la Asia huwezi kukuta watu kutoka mataifa haya kaoa au kaolewa na Mwafrica.
☆China
☆Korea
☆Thailand
☆India
☆Nchi...
Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka.
Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti.
Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene.
Elfu 40 nanunua units 116 za...
Imetokea jana jamaa katoka chimbo usiku kamkuta wife wake juu ya kifua cha katoto
wife hakujua jamaa anarudi siku hiyo.
Kinacho nishangaza ni kwamba mke wa rafiki yangu ana mimba kubwa tu.
Habari za wakati huu wapendwa wanaJF, poleni kwa majukumu mazito ya kuitumikia Nchi yetu na kwa wale ambao mlikuwa na ibada leo hii, Hongereni..! Niende kwenye maada moja kwa moja.!
Mimi ni...
Hivi ukiwa na mpenzi unakuta mmepanga mambo mengi saana lakini unaona mwenza wako!
Kama haelekei hivi umepanga kumuoa, unamchunga ili mabaharia wasje vuta waya yeye hapndezew kuchungwa anasma...
Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali.
Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi...
Hello JF..
Naomba niende direct kwnye mada husika.
Tangu nipo 1st year.nlikua na ukaribu na binti fulani,nlijaribu kumuimbisha dana dana zkawa nyngi ad tkawa marafiki wakubwa yaani hawez kaa...
Usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....
Alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga...
Unaweza ukamuonesha hisia zako zote umpendae lakini yeye akashindwa kukupenda vile inavyotakikana!. Kupenda sio kosa lakini kupenda pasipo sahihi ni Kama kumeza kaa la moto!.. linakuunguza...
Nimeamia Sinza Africa Sana hivyo basi kutokana na kukaa sinza huku kituo changu cha kupata moja moto moja baridi ni KONA BAR
umaarufu wa bar hii nadhani kila mtu anaujua sasa tokea niamie huku na...
Wakuu najua mko poa,
Ubachela raha sana,ila usiniinge kabisa.
Kwanza hakuna kubanwa kama ambao wako kwenye ndoa
Unafanya mambo yako kwa kujiamini sana
Upangiwi cha kufanya
Unarudi kwako mda...
Habari wazalendo,
Mimi sipendi kuzungushwa na hawa watu wanaojiita pisi kali, yaani unamtafuta anakuzungunsha wakati ndio atakula pesa yako yaani nitafute pesa kwa shida halafu nikubebeleze uje...
Imagine nimetoka job hapa nimekuja na maocho ocho.
Mtu kaanza kupika muda si mrefu nikasema ngoja wakati anapika nitoke niende dukani kidogo nikachukue kinywaji flani ambacho kinaendana na hiyo...
Haya maisha bana najihisi nina nyota ya kuwa peke yangu tu, tangu kuzaliwa nimezaliwa peke yangu sina kaka wala dada yaani peke yangu.
Nimeishi mpka sasa nina miaka 27 yaani peke yangu peke yangu...
Habari wana JF,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka...
Habari wana JF
Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo...
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.