Unashughulika vipi na mpenzi au mwenza wako ambaye anapenda kukagua simu yako mara kwa mara?

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,766
Habari za wakati huu wapendwa wanaJF, poleni kwa majukumu mazito ya kuitumikia Nchi yetu na kwa wale ambao mlikuwa na ibada leo hii, Hongereni..! Niende kwenye maada moja kwa moja.!

Mimi ni kijana wa kiume 29, nina mpenzi almost mwaka na miezi mitatu tuko kwenye mahusiano. Dada huyu kipindi cha awali alikuwa na anapenda sana kuchati kuwaita watu majina kama wapenzi na hiyo ilitokana na mimi mwenyewe siku moja kumwomba simu yake na hapo iliingia text ambayo ilinishitua nikaingia inbox . Nilifuatilia zile chats na nilichogundua ni kwamba yeye alikuwa anaita majina hayo bila kujali we una mahusiano au lah...! Labda huenda jamaa alikuwa anakula ....! Sikutaka kuchimba zaidi ya kile nilichokiona..! Tulizungumza na tukaelewana na kweli aliwambia marafiki zake na yeye pia aliachakuita majina hayo. Na baada ya hapo niliamua tu kutojipa pressure isiyo ya lazima nikaacha kushika simu yake na sitashika simu ya mpenzi wangu.!
Ni muda sana hatujatofautiana kwa sababu ya ishuya simu..! Basi leo kaja Ghetto kunisalimia,, Nikawa naangalia TV nayeye yupo namimi basi akaniambia naomba simu yako. Nikampa bila kusita akaniambia toa password (Nikaweka fingerprints ikafunguka).Akaanza kusoma text nilizochati na wadada zote na na akaomba aingie na whatsapp nikamfungulia akaenda. Kasoma text namtizama tu. Katika kusom akakuta text nime toa compliments kwa mdada ambaye honestly namkubali kwa hustle zake na nikamwambia (kwenye text, kwamba siku nikipata nafasi ya kuja Mwanza nitakutafuta nikuone) kesi ikawa kwamba nina mpango wa Kwenda mwanza so niende tu nikaonane naye huyo mtu. SikuongeA na nyingine tena kadada kalikuwa kameweka video ambayo ameitoa Tiktok ambayo ni account yake ...! Nikamsifia Mguu mzuri na pia nikamwambia una shepu na Mguu pia besti na imoji ya kuonyesha napongeza.
Ishu ya kumsifia huyu mdada ikawa kesi, akakomaa kama nimependa miguu yake si nimfuate huyo nayeye nimuache na pia akawa anasema kwahiyo namsifia Mdada kisa yeye ni shapeless (Maneno yake GF wangu) na anamguu mwembamba hauna Nyama..! Kitu ambacho mimi kila mara namsikiaga nikiwa nampiga picha... utasikia “piga kuazia juu hadi magotini chini ukate miguu yangu hii mibaya sitaki ionekane.! “ Na pia ana shepu nzuri namsifiaga mnoo na hips kama zote ila sasa ishu ya kumsifia Mdada wa watu kwamba anamguu mzuri yaani imeibua kesi sana. So nimemwambia sina maana kwamba nataka nimtongoze huyo mdada ila basi tu yeye haniamini dizaini fulani.
So mimi nakuja, tupeane busara na hekima za kushughulika na mpenzi anayekagua simu kiasi cha kukufanya ushindwe kuwa huru.! Tafdhari..! Naomba mnisaidie mawazo na share uzoefu wako kulingana na ishu ya simu au text zilivyoleta ugomvi na mlitatua vipi ???
giphy.gif
 
Dhambi ni tamu kama inakatazwa, mf, usizini. Maadamu umekatazwa Basi vya nje ya ndoa huwa vitamu sana, lakini wangesema mzini mpaka vikojoleo vipate nundu, kiwango Cha zinaa kingepungua mno.
Japan na baadhi ya nchi za Ulaya hulazimisha watu wanjunji, maana kiwango cha watoto Kiko chini sana, watu ndio hawataki kabisa kunyanduana.

Dawa ya tabia ya mke wako Ni kumuachia (kumpa) simu yako kila utokapo kuhangaika. Ukifanya hivyo kwa wiki moja tu atajiona ndezi.
Tena mpe kwa kumwambia darling nimekupa simu ili uipekue
 
Haha..! Nimekuelewa kaka
 
Ndio maana nina kisimu changu cha tochi kwaajili ya kuchezea faulo huko, hakina V.A.R. Akija shemeji yenu nakificha ndani ya viatu au bafuni.

Juzi alikuja halafu nikaingia bafuni kuchat na pisi moja hivi mpya, nimeisave "Covid-19 Pro" yeye nimemsave "WUHAN-VIRUS", si nikajisahau nusu saa ikapita nipo bafuni tu, akaja kunigongea mlango kama tumevamiwa na majambazi au kama ananidai vile, kidogo anitoe roho mpaka simu nusu idondoke kwenye ndoo ya maji kwa jinsi mlango ulivyo bamizwa.

Akaniuliza kwa kufoka "Wewe mwanaume unaingia bafuni saa zima, unaosha nini huko"!!!. Nikamjibu kwa upole "VYOMBO".

Nikazuga naoga zangu, fasta nikatoka, namtafuta kumbe mtu alishasepa muda kweli, nakutana na sms "Asante kwa kuni save Wuhan-Virus". Nikajua simu yangu ya tachi imeshapigwa inspection ya kufa mtu na kibarua kishaota nyasi nshaachika, wala sikumtafuta tena mpaka leo.
 
Ndio maana nina kisimu changu cha tochi kwaajili ya kuchezea faulo huko, hakina V.A.R. Akija shemeji yenu nakificha ndani ya viatu au bafuni.

Juzi alikuja halafu nikaingia bafuni kuchat na pisi moja hivi mpya, nimeisave "Covid-19 Pro" yeye nimemsave "WUHAN-VIRUS", si nikajisahau nusu saa ikapita nipo bafuni tu, akaja kunigongea mlango kama tumevamiwa na majambazi au kama ananidai vile, kidogo anitoe roho mpaka simu nusu idondoke kwenye ndoo ya maji kwa jinsi mlango ulivyo bamizwa.

Akaniuliza kwa kufoka "Wewe mwanaume unaingia bafuni saa zima, unaosha nini huko"!!!. Nikamjibu kwa upole "VYOMBO".

Nikazuga naoga zangu, fasta nikatoka, namtafuta kumbe mtu alishasepa muda kweli, nakutana na sms "Asante kwa kuni save Wuhan-Virus". Nikajua simu yangu ya tachi imeshapigwa inspection ya kufa mtu na kibarua kushaota nyasi nshaachika, wala sikumtafuta tena mpaka leo.
khaaaaah
 
Ashachitiwa huyo ana experience mbaya zinazo muandama,anahitaji a lot of assurance, ukitoka kazini usikae na simu,kaa nae karibu akipika kaa jikoni nae huku yeye akipika,mwambie unampenda,huu ndio uwe wimbo wako,ukiwa kazini mtext,ukiondoka kwenda kazini mkiss mwambie unampenda....................baada ya muda ataanza kukuamini....
 
Haya mama.! Nitajitahidi kufanyia kazi mchango wako .!
 
Ndio maana nina kisimu changu cha tochi kwaajili ya kuchezea faulo huko, hakina V.A.R. Akija shemeji yenu nakificha ndani ya viatu au bafuni.

Juzi alikuja halafu nikaingia bafuni kuchat na pisi moja hivi mpya, nimeisave "Covid-19 Pro" yeye nimemsave "WUHAN-VIRUS", si nikajisahau nusu saa ikapita nipo bafuni tu, akaja kunigongea mlango kama tumevamiwa na majambazi au kama ananidai vile, kidogo anitoe roho mpaka simu nusu idondoke kwenye ndoo ya maji kwa jinsi mlango ulivyo bamizwa.

Akaniuliza kwa kufoka "Wewe mwanaume unaingia bafuni saa zima, unaosha nini huko"!!!. Nikamjibu kwa upole "VYOMBO".

Nikazuga naoga zangu, fasta nikatoka, namtafuta kumbe mtu alishasepa muda kweli, nakutana na sms "Asante kwa kuni save Wuhan-Virus". Nikajua simu yangu ya tachi imeshapigwa inspection ya kufa mtu na kibarua kushaota nyasi nshaachika, wala sikumtafuta tena mpaka leo.
Hahahhahah ila nyie viumbe
 
Back
Top Bottom