Hivi umewahi kuona watu kutoka Asia wameoa au kuolewa na Waafrika?

Captain mopao

Senior Member
Feb 25, 2021
133
379
Habari zenu wananchi.

Leo nimetafakari jambo moja, kwanini watu wanaotoka bara la Asia huwezi kukuta watu kutoka mataifa haya kaoa au kaolewa na Mwafrica.

☆China
☆Korea
☆Thailand
☆India
☆Nchi zote za kiarab

Lakini ni kitu rahisi kukuta Mwafrica ameoa na kuolewa na mataifa kutoka bara la Europe yani ni rahisi sana Mwafrica kuoa au kuolewa na raia kutoka.

☆America
☆German
☆Canada
☆Sweden
☆Australia

Kwanini ipo hivi?
 
Huwezi kukuta au hujawahi kuona? Binafsi nawajua wachina wawili wameolewa Uchagani, mmoja maarufu sana Kariakoo alikuwa wa mwanzo kuuza maua na mapambo anaitwa mama Frank mtaa wa Mchikichi na sikukuu kaolewa na mrombo mwenye PhD ya ulevi.
 
Huwezi kukuta au hujawahi kuona?binafsi nawajua wachina wawili wameolewa Uchagani,mmoja maarufu Sana Kariakoo alikuwa wa mwanzo kuuza maua na mapambo anaitwa mama Frank mtaa wa Mchikichi na sikukuu kaolewa na mrombo mwenye PhD ya ulevi
Watoto wao wakoje
 
Mimi binafsi nimewahi kua na binti wa kichina kwa jina la Jing Jiang (Soma Chingh jiang) alikua anaishi Hong Kong ila alinitembelea tukawa pamoja Kama miezi minne akaludi kwao, mi nikawa nimehama hiyo nchi niliyokua naishi. Baadae tulikutana Tena Hong Kong ila baada ya hapo,tukawa tumetengana. Ila Bado tunawasiliana as friends.

Pia ninamwanamke wa kihindi south Africa na life linasonga kibabilon.
 
Huwezi kukuta au hujawahi kuona? Binafsi nawajua wachina wawili wameolewa Uchagani, mmoja maarufu sana Kariakoo alikuwa wa mwanzo kuuza maua na mapambo anaitwa mama Frank mtaa wa Mchikichi na sikukuu kaolewa na mrombo mwenye PhD ya ulevi.
Hahahaha mjinga ww nimechekaa
 
Fatilia wachina kwenye miradi wanaacha mainjinia wa baadae
Macho madogo wanazalisha sana wadada waliozunguka kwenye maeneo yao ya miradi.. Ni kweli ukitembelea maeneo haya ya miradi inayotengenezwa na wachina kuna vitoto chotara ni vingi.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mradi wa daraja la Busisi pale kuna kizazi cha machotara wa kichina kimeanza kuja..

Ila naskiaga mchina akizalisha huku hawezi mbeba mtoto kwenda nae China isipokua huwa wanawahudumia tu watoto wao basi. So ni chanzo cha single maza sabu kutokana kazi zao za mikataba na kuhama hama maeneo mbali au nchi mbali inakua ngumu kutembea na familia...
 
Kwa wageni wengi ndoa zao ni zuga tu ili wasisumbuliwe kupata parmity za kuwa wakazi halali mishe zake zikikamilika anakuachia chotara wako anasepa zake taifa lingine kuendeleza mishe zake na kitu kingine kwa kacha za westen ukishajitambua we chapa zako mwendo mazazi hana time na wewe na kitu kingine mtakuja kuishi a magaidi ndani kwa kupenda slop kwamba umepata mrembo kutoka mbele au kumbe ni jasusi linakusanya data sababu hizo rangi nyeupe ni wabaguzi sana na hawana ukaribu na ngozi nyeusi akijileta kwako ujue kuna mission anakamilisha pili angalieni atakwambia na wewe ukatembelee kwao ulaya kumbe mwanaume unaenda kuolewa au kutolewa figo(Human traffiking) .
 
Tuliosoma Chima na India ni kawaida kuwa na demu...wanapenda ngozi nyeusi balaa.Ukirudi na kuanza maisha rasmi hao watu wananmila ma desturi ambazo mm binafsi naona sio poa kwa TZ
 
Back
Top Bottom