Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja
Sifa;
1.Awe mweupe au maji ya kunde
2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana
3.kama atakuwa...
Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu
SIFA:
1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25
2.Awe mweupe au maji ya kunde
3.Asiwe mnene sana...
Mimi ni kijana wa kiume
Umri miaka 28
Dini mkristo
Rangi mweusi
Natafuta mchumba wa kike ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mke
Sifa awe kuanzia miaka 24-27
Dini mkristo
Awe mchakalikaji maisha...
Sifa Zangu 1.Ni mzawa halisi wa kanda ya ziwa Ila Kwa Sasa sikai huko 2.Nina miaka 29 3.sina wazazi wote 2. 4.mm Ni mrefu na ni mwili mkubwa kawaida Ila mm siyo mwemba. 5.nina Mtoto mmoja WA kike...
Habari zenu ma bidada na wamama kuna hichi kitu wanaume tunataka mtutoe tongotongo
Eti hivi ni kweli sisi wanaume kuna watu wenye mihogo iliyochangamka inapomezwa na mbususu?
Maana nimeshasikia...
Hivi utajisikiaje siku ukimsikia mpenzi wako anajuta kukufahamu na anazungumza hivyo baada ya kuona hamna malewano mazuri au mmegombana au kuna vitu mmeshidwa kuelewana.
Je upande wako utajisikiaje
Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa.
Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi...
Samahanini Nina tatzo moja naomba mnisaidie, Yaani Mimi katika harakati zangu za kutongoza, nikijibiwa "Nina mtu" au "nina mpenzi tayari" Sina ujanja na huwa sijui maneno gani Tena ya kusema na...
Habarini za wakati huu wakuu naomba nisiende mbali niingie kwenye mada moja kwa moja kama kichwa kinavyojieleza
Wakuu siku hizi nimekuwa mtu wa ajabu kweli, yaani nimekuwa na wivu usio na maana...
Kama ilivyo kwetu wanaume Mara zote tunatumia mbinu nyingi nyingi ili tu tuweze kula mbususu za wadada wa watu.
Katika njia hizo zipo njia salama na zipo za hatari ...Basi Leo katika utafiti...
Wapendwa,
Wasalaam!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika...
Ipo hivii wanaume wenzangu leo nataka tujulishane juu ya hili jambo mwiba kwetu. Maana hii taasisi iitwayo ndoa imegeuka na sio kuwa sehemu ya furaha na amani kwetu... imegeuka kuwa sehemu ya...
HABAR WADAU
Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu...
Ndio kama kichwa kinavyojieleza,
Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende? Hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo?
Be honesty and tell...
Kwani ni dhambi kula mbususu bila kutoa Huduma? Kazi anayo, pesa anayo ni lazima sana kumpa huduma,
Je ili huwe mwanaume wa kweli lazima utoe huduma ata kama umezidiwa kipato?
Cc Zero IQ
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale niaje mazee wakubwa shikamoo, wadada pisi kali mambo vp warembo?
Any way nije kwenye point kuna mademu wawili mapacha nilifahamiana nao instagram...
Habarini Ndugu zangu
Mimi ni mwanaume(Kijana), nina miaka 23. Dini yangu ni Mkristo. Elimu yangu ni Degree, sasa hivi ni mjasiriamali.
Natafuta binti wa kuanza naye mahusiano awe na miaka kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.