Top Ten Vituko 10 Vya Kona Bar Sinza Afrika Sana

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,074
3,735
Nimeamia Sinza Africa Sana hivyo basi kutokana na kukaa sinza huku kituo changu cha kupata moja moto moja baridi ni KONA BAR

umaarufu wa bar hii nadhani kila mtu anaujua sasa tokea niamie huku na kukaa zangu sana hapa nimeona vituko kadha wa kadha na hii ni top ten countdown ya vituko vya kona bar

Kituko cha Kwanza

kuna jamaa alienda pale kona Bar kupata moja moto moja baridi sasa baadae akatamani kucheza pool, pale kwenye pool kulikuwa kuna washkaji wanacheza pool table halafu kulikuwa na mdada mmoja wa haja ana kalio dunia nzima hakuna na alikuwa anacheza pool

uchezaji wa pool wa yule dada ulikuwa ni full mtegano na mie huwa namkuta mara nyingi sana kwenye pool table pale kona bar, wapenzi wa kona bar watakuwa wanamjua huyo dada

sasa jamaa na yeye akaenda kucheza pool kumbe alikuwa anamfuatilia yule dada jamaa akamwambia yule dada acheze nae akimfunga yule dada anaenda kumnanihino bure na akifungwa na yule dada anaenda kumnanihino kwa 50,000 dada akakubali

pool ikaanzwa kuchezwa bwana... mwisho wa siku jamaa kafungwa dada anataka akanihiliwe kwa buku 50 jamaa mfukoni ana buku 15 zogo likaanza

mwisho wamasai wakaingilia na jamaa kaondoka kwa aibu

kituko cha pili

kuna jamaa aliingia na mdada mmoja guest sasa jamaa alikuwa ana mguu wa mtoto mdada alivyoona jamaa ana mguu wa mtoto akahairisha shughuli na kusema kama pesa atarudisha jamaa akagoma ikawa zogo

ilibidi watu tuamue ugomvi mule ndani baada ya kelele kuwa nyingi

kituko cha tatu

jamaa alikuwa anamnanihino mdada kwenye gari mara sungusungu hawa hapa na jamaa wanataka 40,000 au wawapeleke polisi jamaa mfukoni ana 20 tena alikuwa amempa yule dada sasa akasema eti yule dada ampe zile hela awape sungusungu ahalafu yeye atamrudishia dada kagoma.... jamaa akataitiwa hadi wazee wa kazi tukamuonea huruma tukaenda wasaundisha

kituko cha nne

sungusungu waliwavamia wazee wa kazi wajeda wakawajidai eti kuwakamata uzururaji vibao vilitembea kwa sungu sungu wale hadi mmoja akakumbuka kwao katavi

kituko cha tano

mdada mmoja ambaye ana gari na anapaki kule nyuma guest alichanwa 0713 yake na njemba aliyeingia nae

kituko cha sita

kuna njemba ilinyonya nido za mdada ikalala ikaibiwa siku nyingine ikamkamata yule dada eti akaenda kumdai mdada alimbadilikia akamjazia watu mpaka njemba ikaona soo

kituko cha saba

kuna njemba ilienda kutafuta changu pale njemba inakaa kibaha huko sasa ikawa inasikiaga tu kuwa kona bar kuna malaya njemba ikatia timu lahaula ikamkuta demu wake anauza
ilikuwa timbwili patashika jeans kuchanika... wakongwe wa pale wakaongezea kuwa kuna mmoja alimkuta mama yake mdogo anauza pale

kituko cha nane

jamaa ililewa chakali kufika saa kumi alfajiri ikachukua mdada ikapiga kavu bila mpira inaamka asubuhi inagundua imepiga kavu tena kahaba .... jamaa kilio

kituko cha tisa

njemba ikawa haichukui wadada ila ina kazi ya kuwavizia na kuwapiga picha wakajua kuwa wanapigwa picha jamaa alikula kichapo kutoka kwa wadada wale (mmoja anapiga mateke kama ongbak) just kidding

kituko cha kumi

wadada wenye makalio makubwa vs wadada wasio na makalio wana beef

wenye makalio makubwa siku zote wanakaaga nje ya ambiance kwenye viti ndio territory yao wakiongozwa na Joyce na wasio na makalio vinasimamaga kwa nyuma upande wa kangaroo na havisogei kabisa kule na wakienda guest vinapita njia ya kule nyuma kupitia king d hotel au vinaenda mapambano masikini

kituko cha nyongeza

siku moja kuna jamaa anaishi mitaa hii ya kona bar ule upande wa guest sasa mtu wake kwa maana demu alikuja kumtembelea jamaa alimpa maelekezo kuwa akishuka achukue bajaji hadi kwa mshkaji demu kweli kachukua bajaj, kufika eneo lile ile anashuka tu wazee wa kazi hawa hapa, nahisi walikuwa sungusungu au vibaka waliojifanya sungusungu hao wakamuuliza aroooo unafanya nini hapa demu akawajibu amekuja kwa mshkaji wake sasa bwana hawakumwelewa wakaanza kumzingua yule dada

dada wa watu akaanza kulia njemba yake ikaja kwanza akaja fresh tu akawaelewesha hawakumwelewa kuna jamaa mmoja kwa kutaka sifa akamshika kalio yule dada mbele ya mshkaji wake kumbe jamaa alishawahi kuwa mwanafunzi wa SENSEI RINGO yule jamaa aliyemshika kalio alipigwa teke kama hili

jerome-jpg.334291

AISE UTAKUWA MUHUDUMU....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom