Msaada: jina zuri kati ya haya

miss chuga

JF-Expert Member
Dec 25, 2019
303
651
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.
 
1636122357539.png

Jaydan
 
Af sorry....

mbona wazaz wengi sana wanawaita watt wao Jaden

Muite Prince.... hayo majina ya Jaden yamekua mengi sana sijui nyuma yake kuna nn
 
Back
Top Bottom