• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

simulizi za ma-x zimevunja ndoa ya jirani

yuzazifu

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Messages
868
Points
1,000
yuzazifu

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2018
868 1,000
usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....

alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga show balaa sijapata kuona, kauli hii ilimkasirisha sana mwanaume na kuhisi yeye hawez kazi.... ndipo ukazua ugomvi nakuamua kumtaliki mkewe

nb: wanaume wenzangu tusiulize habari za ma-x kwa usalama wa ndoa zetu
 
vvm

vvm

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
3,566
Points
2,000
vvm

vvm

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
3,566 2,000
Matokea ya kuoa au kuolewa ilihali hawajitambui...kweli kwa Akili na wivu wakiafrica unadhani ukimsifia X GF au BF .. patakalika hapo ndani ? Hapana
 
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
2,266
Points
2,000
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2018
2,266 2,000
Hawa walikua wanatafutiana vilanga vya kuonyeshana mlango wa kutokea.
Kifupi hao wanaweza wakawa wana maduku duku ndani ya mioyo yao ambayo kila mtu anashindwa kulitoa.

Tujenga utamaduni wa kuwekana huru tuelezane hisia kila mmoja anavyo ji feel juu ya mwenzake katika mazingira ya kawaida kabisaa.itasaidia sanaa
 

Forum statistics

Threads 1,403,615
Members 531,286
Posts 34,429,079
Top