Wanawake wengi wanajua waume zao ndio watatangulia kufa

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,982
5,291
Hili wakuu lipoje? Mara nyingi mno nimewahi kushuhudia wanawake wakiweka malengo ya maisha na watoto wao mara baada ya waume zao kufariki. Je, kwa mini wanajiaminisha haya?

Inaonekana mwanaume akifika umri fulani na bado akaonekana anaishi na hana dalili za kuumwa, hiki kitu wanawake hawapendi. Wao wanataka umri fulani ukifika, hasa ule wa kukaribia uzee mfano 45+, basi uanze kuumwa umwa na usiwe na uhakika wa kutoboa miaka 2, hapo ndio hufurahi mno.

Atajifanya kukuletea uji na vyakula ukiwa umelazwa huku moyoni anafurahi kwenda kuwa huru baada ya wewe kuaga dunia. Huu ni UKWELI na wengi wapo hivyo, HASA KAMA MMEJALIWA VIHELA HELA NA VIGARI PLUS TUNYUMBA TWA KUTOSHA. Na wameshaiweka hii akilini, sasa mwanaume ukijipenda na kuonekana unataka kuvuka umri mrefu wanawake wengi huanza kuchukia na hapo ndio HATA HUFIKIA MAAMUZI MAGUMU YA KUKUUA KWA SUMU.

HASA HAWA WA KIAFRIKA!
 
Hili wakuu lipoje? Mara nyingi mno nimewahi kushuhudia wanawake wakiweka malengo ya maisha na watoto wao mara baada ya waume zao kufariki. Je, kwa mini wanajiaminisha haya?

Inaonekana mwanaume akifika umri fulani na bado akaonekana anaishi na hana dalili za kuumwa, hiki kitu wanawake hawapendi. Wao wanataka umri fulani ukifika, hasa ule wa kukaribia uzee mfano 45+, basi uanze kuumwa umwa na usiwe na uhakika wa kutoboa miaka 2, hapo ndio hufurahi mno.

Atajifanya kukuletea uji na vyakula ukiwa umelazwa huku moyoni anafurahi kwenda kuwa huru baada ya wewe kuaga dunia. Huu ni UKWELI na wengi wapo hivyo, HASA KAMA MMEJALIWA VIHELA HELA NA VIGARI PLUS TUNYUMBA TWA KUTOSHA. Na wameshaiweka hii akilini, sasa mwanaumw ukijipenda na kuonekana unataka kuvuka umri mrefu wanawake wengi huanza kuchukia na hapo ndio HATA KUKUUA KWA SUMU WANAWEZA.

HASA HAWA WA KIAFRIKA!
Acha tufe
 
Naweza sema hili lina ukweli... wengi wanaamini kuwa walinyanyasika, sasa ukivuta ndio wataanza maisha huru... Kuwa makini sana aisee, hawakawii kukukanyaga kende ukiwa usingizini. :D Ukianza kujijali, tumazoezi utaona ananuna, utasikia kwani unatafuta nini wewe, ushazeeka, waachie vijana, wanataka tufe tu..
 
Naweza sema hili lina ukweli... wengi wanaamini kuwa walinyanyasika, sasa ukivuta ndio wataanza maisha huru... Kuwa makini sana aisee, hawakawii kukukanyaga kende ukiwa usingizini. :D Ukianza kujijali, tumazoezi utaona ananuna, kwani unatafuta nini wewe, ushazeeka, waachie vijana, wanataka ufe tu..
Mule mule kaka, hebu jipige kifua bro!!!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom