Sipendi kuzungushwa na mabinti ninaowatongoza

Jimmy ally

Senior Member
May 11, 2017
156
276
Habari wazalendo,

Mimi sipendi kuzungushwa na hawa watu wanaojiita pisi kali, yaani unamtafuta anakuzungunsha wakati ndio atakula pesa yako yaani nitafute pesa kwa shida halafu nikubebeleze uje kula pesa zangu.

Nikikutongoza siku tatu haueleweki nafuta na namba, dunia ituzungushe nawe unizungushe. Wewe haupendi nini katika kuzungushwa?

1636015262618.png
 
Kama shida ni kuzungushwa ongeza idadi ya mizunguko (wa kukuzungusha)

Mimi nikiwa nataka sex patners huwa natongoza wasichana wazuri wanne kwa mpigo, katika kuzungushwa huwa nna win wawili wa mwanzo kabisa then hawa wengine wanajiset huko mbele kwa mbele

Nb. wakati pekee mwanamke anaokua na mamlaka juu yako ni kipind anakuzungusha ukishampana ndio unakua msemaji wa maisha yake, so waache wakuzungushe mkuu ndio sehem pekee wanapopata uafadhali kabla hajajifungamanisha na wewe mazima
 
Kuna hiyo picha MLETA mada ameambatanisha ... Yaani hao jamaa hapo kwenye komedi zao za ni utopolo tu wanaigiza...

MÊmENtO HoMO
 
Habari wazalendo,

Mimi sipendi kuzungushwa na hawa watu wanaojiita pisi kali, yaani unamtafuta anakuzungunsha wakati ndio atakula pesa yako yaani nitafute pesa kwa shida halafu nikubebeleze uje kula pesa zangu.

Nikikutongoza siku tatu haueleweki nafuta na namba, dunia ituzungushe nawe unizungushe. Wewe haupendi nini katika kuzungushwa?

Uwe mjivuni na mdharau u kiwapa atrention ya kudumu unaowataka unapotea, fanya hivi mcheki mara mbili au tatu akizingua potezea kbsa futa na namba ila hakikisha usikose pesa kwenye waleti laki3-5 na etc kwenye walleti na marafiki zake waone sifa hizo, huwezi amini hawa wanajileta, usisahau kutoa ofa au zawadi kama kusudi, sandle na lotion, perfume kwa best yake yeyote wa karibu ndio "utajua unajua". Inategemea ntu na ntu binafsi mi mjivuni na mjeuri madharau huwa sibembelezi mwanamke kwa sababu najua baadae akiwa wangu atakuwa ombaomba kwangu.

Yes sawa hapana sawa natembea, changamsha akili ya mwanamke kwa elfu 5,10,20 kwa lunch na etc uone faida yake.
 
Hapa ndipo nakumbuka song la fid na yule matonya usinikubali haraka

Sifa ya mwanamke ni kuzungusha


Eti nakutongoza unakubali hapo hapo haki amungu nakulamba makofi
Pic%20Layer_20211111131418277.jpg
 
Raha ya kumtongoza mwanamke ni ile kuzungushwa, inakupa hamasa kama mwanaume kutumia akili kuwin moyo wa mwanamke.
Lakini mwanamke anayekuzungusha ili akulie hela, hapo tatizo ni wewe, unatongoza malaya na siyo wanawake wanaojielewa.
 
Zitongoze mwenyewe kama hupendi kuzungushwa..


Mkuu mademu lazima wakuzungushe tu,,,, ila kama ni malaya hamna neno..
Au labda akupende yeye
 
Back
Top Bottom