Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae.
Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito...
Mada tajwa hapo juu,
Wakuu demu wangu anatoka na wavulana wengine tena zaidi ya mmoja lakini naogopa kumwambia ili asije akaniacha.
Shida sio kuniacha shida ni kwamba ananipaga mzigo kila wakati...
Mficha maradhi kifo umuumbua wiki iliyopita niilijichanga uswazi kupinga masanga na kutafuta kipoozeo(demu) kwani nilikuwa na ugwadu balaa si unajua tena sisi wazee wa lokoo daile.
Nikafanikiwa...
Napenda kuwaachia ujumbe huu wake/wapenzi wetu,wakwe na mashemeji kwamba kusaidia ukweni hususani mume kusaidia upande wa mwanamke ni kitendo cha hiyari na sio lazima
Kitendo hiki cha hiyari ni...
Habarini.
Naomba Niende Direct kwenye Mada husika. Ni kama Story hivi.
Mimi Hapa Nina Washikaji 3 Let us tuwa name A, B, C by then tupo zetu chuo 4 year now, sa inshu ipo hivi Mshikaji wangu A...
Katika pitapita zangu nikakutana na mrembo mmoja hv wa Kibondei; mtoto hatari modo mashine futa la nazi tu anawaka balaa alafu alichoniua zaid vibom vyake sio hatar kiviiiile Mzee mzima nikaona...
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka.
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili...
Mimi humu sitafuti mpenzi.
Hiyo sekta imepitwa na wakati the thing is natafuta marafiki wenye kutoa ushauri positive na connection mbali mbali umtanisuta ila nao umri umefikia kuwa na marafiki wa...
Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake.
Inadaiwa kuwa Juma...
Habari zenu wana MMU nawasalimu
Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado...
Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za...
Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke.
Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje...
Jumamosi wanandoa wengi husingizia kwenda kuhudhuria sherehe za ndoa Kitchen party na birthday party.
Huko wanakoenda kuhudhuria hujikuta wanafanya mambo ya ajabu na aibu kabisa.
Salam kwa wanajukwaa,.
Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha...
Mapenzi haramu ni jambo baya kiafya na hata kiimani.
Tukifanya mapenzi kulingana na utaratibu uliowekwa wa kibinadamu basi kuna faida nyingi ikiwemo. Kupata watoto na kujenga familia jambo...
Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu.
Anasema aki-interact na...
[emoji117]Wanawake uwe umeolewa au upo katika mahusiano kutongozwa ni kawaida kwa mtoto wa kike coz sio wanaume wote wanajua umeolewa au upo kwenye mahusiano[emoji180]
Makosa mnayofanya baadhi...
Nimewahi tena mara nyingi na bado mawazo hayo hunijia, hali inakuwaga mbaya hadi nafiikiriaga kutumia unga sema hizi coctail za bongo ni kujiongezea matatizo, mwisho naamua kupiga gambe tu.
Ila...
Nawasihi ndugu zangu tunaokunywa pombe kweli bia ni tamu ila ukiwa kama kijana mdogo below 30 unayetaka kuwa na familia Basi jiepushe na pombe kataa kabisa pombe sema hapana kunywa zako juice na...
Wakuu jana nimepata msala mkubwa katika maisha yangu sisi kwetu huwa tuna ka tamaduni ketu ka kufuga nywele sehemu nyeti uwa tunapenda sana kufuga nywele sehemu za siri hata sometime uwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.