Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kumekuwa na tabia za wanaume hasa hawa wa singeli kuutumia uchafu wao kama ndio uanaume Unakuta mwanaume kakomaa makalio yamepauka yanataka kuwa na upele upele kabisa kisa kutokupaka mafuta...
19 Reactions
125 Replies
11K Views
Habari za muda huu Ndugu zangu. Poleni na changamoto za kupambana na Uviko 19. Nije moja kwa moja kwenye mada, hivi ukimpenda Msichana au Mvulana unayeweza kuongea nae kimapenzi ingawa hujatembea...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Salaam, Katika utafiti wangu usio rasmi, linapokuja suala la sex mwanamke hureact kulingana na maandalizi. ukimparamia ujue utapewa game chini ya kiwango, ukimuandaa kiasi ujue utapewa game ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya usiguse usijarib kuweka nao mahusiano vinginevyo utalia labda ule na kusepa. Wanawake wenyew ndo kama hawa: wanaopenda kujichekesha kwa wanaume-malaya...
3 Reactions
65 Replies
16K Views
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "malogy mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu nipo Kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao, akacheka sana...
21 Reactions
45 Replies
6K Views
Wasalaam, Wanajamvi jana kuamkia leo usingizi umekua mgumu kwangu kutokana na changamoto ninayopitia katika swala la mahusiano ya mapenzi. Ikiwa ni muda mfupi toka nitengane na mke wangu...
5 Reactions
99 Replies
7K Views
Waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza kwenye kongamano la kupinga unyanyasaji wa kinjinsia nchini amesema serikali imedhamiria kukomesha rushwa ya ngono vyuoni kwani kwa sasa imekithiri...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaam, Katika utafiti wangu usio rasmi, linapokuja suala la sex mwanamke hureact kulingana na maandalizi. ukimparamia ujue utapewa game chini ya kiwango, ukimuandaa kiasi ujue utapewa game ya...
3 Reactions
4 Replies
740 Views
Habari, Jana jirani yangu katorokwa na mkewe naona jamaa kakusanya virago anamfuata kwao je ni sahihi?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Usitongoze mwanamke kwa kuangalia picha alizoweka kwenye mitandao; utajuta! Wengi wamezipiga nyuso zao 'plasta' pamoja na 'kuziskimu' kabla ya kuziweka kwenye mitandao.
20 Reactions
172 Replies
11K Views
Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe...
8 Reactions
85 Replies
8K Views
Natanguliza shukran
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mungu atuondolee moyo wa ubinafsi na ule wa kuwatamkia wenzetu mabaya pale wanapotuudhi "Kwa maana Bwana ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume." Kwa ibada, maombi, heshma...
12 Reactions
29 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Miongoni mwa mambo yanayopelekea mahusiano mengi ya ndoa kuvunjika ni pamoja na kutoa baadhi ya vitu, maneno au matendo yanayoihusu ndoa yenu kuwapelekea watu wengine ambao si wahusika wa ndoa...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
(Ni kweli) Nilibahatika kufanya ziara na kwenda kushiriki na ndugu na jamaa mikoa ya kati. Nilisafiri asubuhi hadi saa moja unusu nikawa nimefika mkoani, ikabidi nitafute sehemu ya kujiegesha...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wakuu, Heshima yenu popote mlipo Naanza kwa kunukuu Wakolosai 3:18-19 "Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
BANDUGU ZANGU LEO NMEKUJA NA HUU UZI ATAKAYEKUOA SIFA ZAKE NI KAMA IFUATAVYO... 1. ANABADILIKA Mwanaume Ambaye Ana Malengo Ya Kuoa Hubadilika Kitabia. Muda Mwingi Hutaka Kuonekana Mtu Mzima Mwenye...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo. Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya. Before or after ndio poa.
4 Reactions
53 Replies
7K Views
Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing). Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom