Hii dawa ya kimasai vipi?

Hii dawa ya kimasai vipi?

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,779
Reaction score
1,227
Mficha maradhi kifo umuumbua wiki iliyopita niilijichanga uswazi kupinga masanga na kutafuta kipoozeo(demu) kwani nilikuwa na ugwadu balaa si unajua tena sisi wazee wa lokoo daile.

Nikafanikiwa kupata ndega ya elfu ishilini na tano nyama kwa nyama na kwa kutumia condom basi angenifanyia elfu kumi na tano nikaona ngoja nichukue ile ya elfu kumi na tano ili kuepusha gharama, sijaanza kazi nikaona ni vyema niikague kabisa mashine nikashangaa kitu kiko taiti vibaya mno ikabidi niongeze dau ili nipige nyama kwa nyama na kweli niliinjoi mno kesho asubui nikakuta uume unauma sana nikafikili inawezekana ni ile kazi ya jana lakini ilipofika majira ya mchana hali ilianza kubadilika kwa uume kuwasha na kukokjoa kwa shida nikaona mh huu msala sasa na kabla sijaenda hospital ni lazima nipate kibali toka kwa daktari hapa hapa kambini hivyo akijua itakuwa aibu na fedhea.

Nikaona ni bora niwazukie wamasai lakini toka wanipe tiba nashukuru naendelea vizuri na ugonjwa unaendelea kukoma nachoshangaa toka nianze kutumia hiyo mitishamba uume wangu unarefuka kila siku sasa sijui niliksea masharti ya utumiaji hiyo dawa au alinichanganyishia baada kuona kadude kangu kanafanana na kibamia au lah nilijaribu kwenda pale nilipomkuta nikaambiwa yeye ni mtu wa kuhama hama
kwa mwenye njia mbadala naomba ushauri.
 
Msaada upi unaitaji!kufupisha uume,kupata tena hiyo mbunye au?
 
Ya msondo muachie Gurumo...!tafuta masai mwngne ila usije ukarudi hapa ukasema umenenepesha ikulu au ndo imepotea kbs.
 
mficha maradhi kifo umuumbua wiki iliyopita niilijichanga uswazi kupinga masanga na kutafuta kipoozeo(demu) kwani nilikuwa na ugwadu balaa si unajua tena sisi wazee wa lokoo daile
nikafanikiwa kupata ndega ya elfu ishilini na tano nyama kwa nyama na kwa kutumia condom basi angenifanyia elfu kumi na tano nikaona ngoja nichukue ile ya elfu kumi na tano ili kuepusha gharama, sijaanza kazi nikaona ni vyema niikague kabisa mashine nikashangaa kitu kiko taiti vibaya mno ikabidi niongeze dau ili nipige nyama kwa nyama na kweli niliinjoi mno kesho asubui nikakuta uume unauma sana nikafikili inawezekana ni ile kazi ya jana lakini ilipofika majira ya mchana hali ilianza kubadilika kwa uume kuwasha na kukokjoa kwa shida nikaona mh huu msala sasa na kabla sijaenda hospital ni lazima nipate kibali toka kwa daktari hapa hapa kambini hivyo akijua itakuwa aibu na fedhea.
Nikaona ni bora niwazukie wamasai lakini toka wanipe tiba nashukuru naendelea vizuri na ugonjwa unaendelea kukoma nachoshangaa toka nianze kutumia hiyo mitishamba uume wangu unarefuka kila siku sasa sijui niliksea masharti ya utumiaji hiyo dawa au alinichanganyishia baada kuona kadude kangu kanafanana na kibamia au lah nilijaribu kwenda pale nilipomkuta nikaambiwa yeye ni mtu wa kuhama hama
kwa mwenye njia mbadala naomba ushauri

Na bado nakwambia hilo dushe litarefuka hadi lifike miguuni kazi kupenda ngono tuu.shame on u
 
Hapa na husika na lazima nitoe msaada wa haraka tofauti na hapo mtu atajikuta anamiliki wa punda
 
Hapa na husika na lazima nitoe msaada wa haraka tofauti na hapo mtu atajikuta anamiliki wa punda
nimefarijika sana na hiyo avatal naamini utakuwa msaada kwangu!
 
pole kwa kuumwa,hapo nakushauri usiishie kwa wamasai tu ,nenda na hospitali ili uhakikishe umepona kabisa.pia ni vipi unajiamini kulala ma mtu usiye mjua bila kinga wakati afya yako iko poa nakushauri usirudie tena utakuja jutia tafuta wa huko huko kambini wadada mmalizane .
 
Back
Top Bottom