Mpenzi wangu anatoka na wanaume wengine ila naogopa kumwambia naombeni ushauri wakuu

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Mada tajwa hapo juu,

Wakuu demu wangu anatoka na wavulana wengine tena zaidi ya mmoja lakini naogopa kumwambia ili asije akaniacha.

Shida sio kuniacha shida ni kwamba ananipaga mzigo kila wakati nikihitaji sasa tukiachana sijui kama ntapata mzigo wa kupiga kila siku ndicho nahofia hicho
Halafu demu mwenyewe ni jirani yangu kinoma yani naweza hata kumgegeda mara tano kwa wiki.

Naombeni ushauri wakubwa je nijitutumue nimchane au au nikaushe niendelee kuumia hivyohivyo?
 
Mada tajwa hapo juu,
Wakuu demu wangu anatoka na wavulana wengine tena zaidi ya mmoja lakini naogopa kumwambia ili asije akaniacha,
Shida sio kuniacha shida ni kwamba ananipaga mzigo kila wakati nikihitaji sasa tukiachana sijui kama ntapata mzigo wa kupiga kila siku ndicho nahofia hicho
Halafu demu mwenyewe ni jirani yangu kinoma,
Naombeni ushauri wakubwa je nijitutumue nimchane au au nikaushe niendelee kuumia hivyohivyo?
Japo haina makombo lakini mmh.... Kila manii Ina maagano yake... Epuka ku share
 
We kula mzigo tu kama hao wengine mawazo ya kusema huyu.mi wangu achana nayo na mawazo ya kusema nitamuoa achana nayo, ukiweza hayo tu basi hutokuwa na wivu ila ni mwendo wa kula mzigo kiroho saaafi
Safi sana
 
Back
Top Bottom