Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Katika pitapita zangu nikakutana na mrembo mmoja hv wa Kibondei; mtoto hatari modo mashine futa la nazi tu anawaka balaa alafu alichoniua zaid vibom vyake sio hatar kiviiiile Mzee mzima nikaona hapa panafaa kuweka kambi.
Baada ya miez kadhaa nikaona isiwe tabu nikakwanyua jumla laif la ufaza hausi nikalianza km masikhara Wallah.
Baada ya miez mitat tukalazimika kwenda kumtembelea Baba Mkwe ndani ya Dom, yeye ni mtumish wa wizara lkn pia nilikua na kipengele cha kumtembelea besti yangu mmoja hv wa tangu shule ya msingi, sekondari mpaka elimu ya taaluma kwenye kuchonga chuma na kuchomelea.
Siku ya miadi na mshkaji ilipofika akaja kutuchukua mwenyewi mitaa ya uzunguni baada ya kushuka kwenye ndinga lake akashtuka kwa furaha huku akitoa tabasamu tele huku akitusogelea moja kwa moja akanianzishia swali 'oya huyu ndio shem?*
Nikamwambia ndio wakacheka sana huku wakipiga story zilipendwa mzee mzima nikakaa pemben nasikiliza. Baada kam masaa matat bestie yangu akaanza utambulisho namaanisha mim baada ya kumtambulisha yy kwa shemej yake nikatambulishwa mm kuhusu ujamaa wao.