Nilimpenda sana akanizalia watoto tumeishi miaka kumi sikutegemea kama atakuja kuniacha ila alishawaambia baadhi ya watu kuwa ataondoka. Nasasa ameondoka kweli hakika wanawake ni wabaya sana...
Msaada kwa mdau rafiki yetu
Nimejikuta njia panda baada ya meneja wa kampuni yetu (Mwanamke) kuniwekea mazingira magumu kwenye swala langu la kuoa. Hivi karibuni niliitisha michango ofisini kwetu...
Za saa hizi Wana MMU? Natumai mpo salama kbsa na tumshukuru Mola kwa kutuwezesha kuiona siku nyingine mpya.
Duniani Mambo Ni mengi muda mchache, Kuna mwanamke mmoja alikuwa anafanya kazi katika...
Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha.
Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na...
Habari za humu wana jamii forum wote.
Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano.
Mada hii naiweka katika mtindo wa...
Mimi nina miaka 34, natafuta mwanamke wa kinyakyusa aliye mnene na mrefu.
Umri wowote. Nataka ambaye mbaye yupo tayari kuanza maisha ya kindoa hata kama ana mtoto. Nipo Songea.
Namba yangu ni...
Habari wanajamvi?
Ni matumaini yangu kwamba mpo salama na mnaelendea vyema na mishe zenu za kimaisha.Moja kwa Moja acha niingie kwenye mada husika.
Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke wake na...
Wakuu,
Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid.
Sasa last week akanipigia simu akaniambia...
Mara nyingi tunawavumilia watu tunaowapenda bila kujua kama wao wangeweza tuvumilia vivyohivyo kama tunavyowavumilia.
Iwe rafiki, ndugu, ama mpenzi.. ukitakamfanyia jambo mtu yeyote, jiulize...
Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa..
1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu.
2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana...
READER DISCRETION IS ADVISED
Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti...
Faida za kujamiiana
1.Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapenzi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako...
Tulianza vibaya mwaka mpya na Ma msapu. Kisa kidogo tu nilimwambia sitoweza kumsaidia jambo ambalo yeye aliona ni muhimu nami nikasema sio kama vipi nipe muda.Alikasirika akaniambia hiyo ndio...
Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko
Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke...
Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa.
1.EMOTIONAL CONNECTION
2.CHEMICAL BOND
Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean...
Habari humu ndani?
Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF
Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni...
Mimi si mwanachama na mchangiaji sana huku MMU, lakini hata bubu aking'atwa ataongea hata neno.
Huku kuna walimwengu wa maisha halisi ya kibantu.
Hadithi ni ndefu lakini nitaifupisha.
Nina mke na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.