Panya kavunja ndoa ya watu

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,781
12,506
Habari wanajamvi?

Ni matumaini yangu kwamba mpo salama na mnaelendea vyema na mishe zenu za kimaisha.Moja kwa Moja acha niingie kwenye mada husika.

Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke wake na walikuwa wanapendana sana, kipindi hicho ndoa yao ilikuwa changa Sana kwahyo hawakuwa wamejaliwa na mtoto.Walikuwa na mfanyakazi wao wa ndani ambaye alikuwa anawasaidia shughuli mbali mbali Kama vile kupika,kufua na kusafisha nyumba na boma kwa ujumla.Walikuwa na nyumba yenye vyumba vinne ambavyo Ni sebuleni,jikoni,chumba Cha wageni kulala na chumba rasmi Cha wenye nyumba.

Beki tatu alikuwa anatumia chumba ambacho kilikuwa kimetengewa wageni kulala.Kwenye hyo nyumbani alikuwepo panya mmoja mkubwa msumbufu Sana.Huyu panya alitawala Sana kwenye hyo ila hakuchukuliwa hatua zozote za kutekwa Wala kuuaua.
Ikatokea siku Moja huyo panya alienda kwenye chumba Cha baba na mama Kisha akazoa bukta( innerwear) ya baba mwenye nyumba na kuenda nayo Hadi kwenye chumba Cha maid na kuiacha uvunguni mwa kitanda chake bila wao kujua.

Ikafika siku huyo beki tatu apanga safari ya kwenda kwao kujumuika na familia yake angalau kwa wiki 2.Wakabaki wenye nyumba tum
Siku Moja mama mwenye nyumba akamua kufanya general cleanliness kwenye nyumba yake.Akaanza na chumba chao,sebule Kisha akamaliza na chumba alichokuwa anakitumia mfanyakazi wao.

Alipoinama mvunguni mwa kitanda Cha maid kwa ajili ya kufagia,akakumbana na nguo ya ndani ya mumewe ambayo ilibebwa na panya kutoka chumbani mwao, mke akashtuka Sana kuanza kujiuliza maswali mengi,bila kuwaza zaidi akajikatia kauli kwamba mume wake alikuwa anazini na mfanyakazi wao.

Mume akarudu kazini jioni Kama kawaida yake ila akakuta ndani hapakaliki pamechimbika.Mke wake alimweleza jinsi Mambo yalivyokuwa na akaomba talaka Moja kwa Moja huku akilia kwa uchungu Sana.Jamaa alichanganyikiwa Sana maana hakuelewa kinachoendelea.Alijaribu kumcool down mke wake ila Ila bibie alikuwa amewaka Moto Kweli Kweli.

PICHA LINAISHA mke alifungasha mizigo yake na kwenda kwao huku analia na akaapa kutorudi. Ndoa ikavunjika mazima.

ANGALIZO:Kama unaishi na panya nyumbani kwako chukua hatua ya kuwaangamiza kbsa vinginevyo ndoa yako utaikuta chali muda si mrefu.
 
Ukiwa na demu akafika geto na ukiwa haupo akafanya usafi chumba chote ogopa sana huwa ni mbinu ya kukupekua pasipo wewe kujua
 
UMEJUAJE Kama n panya?ulimuona?au ni panya mwenyewe ndio alikuambia?
 
Huyu sio panya wa kawaida ni PANYA PANYEST PANYA🐀🐁
 
Duh
 
Sasa aliyeng'amua kama ni panya ninani? Au camera zilionyesha? Au ndiyo kujihami kama wale waliosema uwanja mdogo ndiyo maana tumefungwa
 
Hapa kwenye matumizi ya lugha yaani kuficha ukali wa maneno PANYA imetumika kama MUME yaani PANYA=MUME wanaume kwa kujitetea sasa yaani panya amesimama kama mume ili usionekane kama una kosa MKUU.. ila huyo panya ni kihere here banah
 
Habari wanajamvi?

Ni matumaini yangu kwamba mpo salama na mnaelendea vyema na mishe zenu za kimaisha.Moja kwa Moja acha niingie kwenye mada husika.

Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke wake na walikuwa wanapendana sana, kipindi hicho ndoa yao ilikuwa changa Sana kwahyo hawakuwa wamejaliwa na mtoto.Walikuwa na mfanyakazi wao wa ndani ambaye alikuwa anawasaidia shughuli mbali mbali Kama vile kupika,kufua na kusafisha nyumba na boma kwa ujumla.Walikuwa na nyumba yenye vyumba vinne ambavyo Ni sebuleni,jikoni,chumba Cha wageni kulala na chumba rasmi Cha wenye nyumba.

Beki tatu alikuwa anatumia chumba ambacho kilikuwa kimetengewa wageni kulala.Kwenye hyo nyumbani alikuwepo panya mmoja mkubwa msumbufu Sana.Huyu panya alitawala Sana kwenye hyo ila hakuchukuliwa hatua zozote za kutekwa Wala kuuaua.
Ikatokea siku Moja huyo panya alienda kwenye chumba Cha baba na mama Kisha akazoa bukta( innerwear) ya baba mwenye nyumba na kuenda nayo Hadi kwenye chumba Cha maid na kuiacha uvunguni mwa kitanda chake bila wao kujua.

Ikafika siku huyo beki tatu apanga safari ya kwenda kwao kujumuika na familia yake angalau kwa wiki 2.Wakabaki wenye nyumba tum
Siku Moja mama mwenye nyumba akamua kufanya general cleanliness kwenye nyumba yake.Akaanza na chumba chao,sebule Kisha akamaliza na chumba alichokuwa anakitumia mfanyakazi wao.

Alipoinama mvunguni mwa kitanda Cha maid kwa ajili ya kufagia,akakumbana na nguo ya ndani ya mumewe ambayo ilibebwa na panya kutoka chumbani mwao, mke akashtuka Sana kuanza kujiuliza maswali mengi,bila kuwaza zaidi akajikatia kauli kwamba mume wake alikuwa anazini na mfanyakazi wao.

Mume akarudu kazini jioni Kama kawaida yake ila akakuta ndani hapakaliki pamechimbika.Mke wake alimweleza jinsi Mambo yalivyokuwa na akaomba talaka Moja kwa Moja huku akilia kwa uchungu Sana.Jamaa alichanganyikiwa Sana maana hakuelewa kinachoendelea.Alijaribu kumcool down mke wake ila Ila bibie alikuwa amewaka Moto Kweli Kweli.

PICHA LINAISHA mke alifungasha mizigo yake na kwenda kwao huku analia na akaapa kutorudi. Ndoa ikavunjika mazima.

ANGALIZO:Kama unaishi na panya nyumbani kwako chukua hatua ya kuwaangamiza kbsa vinginevyo ndoa yako utaikuta chali muda si mrefu.
Huu ni uongo zaidi ya ule wa kumsingizia Mbowe kuwa ni gaidi.Hivi kweli umetuona JF vilaza eenhh??.Panya avute bukta kutoka chumba kimoja hadi kingine hadi kuificha uvunguni kweli jamani?.Umetudanganya mno chifu punguza kidogo chumvi.
 
Back
Top Bottom