Mara nyingi tunawavumilia watu tunaowapenda bila kujua kama wao wangeweza tuvumilia vivyohivyo kama tunavyowavumilia.
Iwe rafiki, ndugu, ama mpenzi.. ukitakamfanyia jambo mtu yeyote, jiulize kwanza kama ingekua ni wewe unaefanyiwa hivyo.. utapenda/utafurahi, ama utamvumilia mtu akufanyiae matendo hayo unayopenda kuwafanyia wenzako?
Kwa namna hiyo tutakua tukidumisha utu, na kupunguza matatizo mbalimbali katika jamii, ikiwemo presha, magonjwa ya moyo, ama visa mbalimbali.