Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA...... Mwaka anayaweza kwelikweli
8 Reactions
123 Replies
9K Views
Inawezekana wakati unamuoa/kuolewa naye ulikuwa na mategemeo lukuki ambayo kwa bahati mbaya huyaoni katika Manisha halisia ya ndoa! Umewahi kujiuliza kama unatimiza mategemeo yake kwako ya kabla...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ule usemi ngombe wa maskini hazai sasa ivi naushuhudia kwa macho yangu,kijana wakiume kupata mke kama maisha yake duni tusahau ilo ,binti anachat ukimwambia financialy haupo vizuri ansepa hahahaaa...
12 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanawake tunawapenda. Wanatupa mazuri mengi, wanatufariji, wanatutia moyo kusonga mbele, wanatupa utamu kila tunapotaka kwa kweli viumbe hawa wanatufaa sana sana bila hawa sijui tungeishi vipi hua...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU. Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama...
11 Reactions
66 Replies
6K Views
"Sababu zinazopelekea wazazi kutoelewana na wakwe zao, ni pamoja na matarajio ya pande zote mbili, wazazi wengi wamekuwa wanatarajia wakwe zao wawe na mwonekano fulani au na tabia fulani."...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula...
15 Reactions
124 Replies
10K Views
Maisha xio haraka na haraka sio maisha Ivo Sina haraka na maisha na nahitaji Baraka kwan kutafut mke sio kukosa niliitaji Kama Kuna mtu atawiwa I'm free Sifa Ni simple ty Mkwel ,muwaz Umri;18...
1 Reactions
4 Replies
801 Views
Rafiki wa kike anahitajika umri kuanzia miaka 18 mpaka 50 Awepo maeneo ya Dar Dini yoyote kabila lolote Karibuni pm
2 Reactions
1 Replies
732 Views
1-Awe muislamu 2-umri 20-30 3- kabila lolote lile 4-Elimu kuanzia kidato cha nne kuendelea 5-awe ameajiriwa au hajaajiliwa ni sawa tu,akiwa ameajiriwa basi akiwa mwalimu ni vyema zaidi. 6-Awe...
2 Reactions
11 Replies
797 Views
1. Hug them. 2. Write a love note. 3. Call them at work just to say "Hi." 4. Give them a foot massage. 5. Tell them a joke. 6. Caress them with slow gentle strokes. 7. Go for a walk with...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
WOMAN & LOVE What really makes a woman to love a man? In case of emotions, it is infatuation. In case of economic stand, it is money. In case of loneliness, it is company. In case of...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema,bila kupoteza muda,ni mbinu gani ulitumia kula tunda kwa mwanamke/msichana uliyemtongoza kwa muda mrefu bila ya mafanikio? Binafsi nilitongoza demu kwa muda wa miezi 3...
17 Reactions
55 Replies
13K Views
Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia...
19 Reactions
84 Replies
14K Views
Heri ya mwezi mpya, ni jambo jema kuiona siku mpya na mwezi mpya. Kuna hii tabia ya vijana wa kiume kuogopa kutongoza hasa kwa kuhofia kua watakataliwa. Kwanza ni kosa kuhofu au kua na mawazo ya...
12 Reactions
36 Replies
11K Views
1. Kusomesha mchumba 2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako. 3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali. 4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako...
6 Reactions
34 Replies
6K Views
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe. Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Dunia imejaa upotoshaji. Na jambo Moja ambalo limepotoshwa na kuzani kuwa ukimhudumia mwanamke na kumpatia pesa nyingi ndio silaha ya kumtuliza. Huu ni uongo mkubwa na ndo maana Kila Leo Kuna...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wakuu i hope mko poa, Aisee hivi karibu nimekuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi tumejuana facebook tukapeana no tukawa tunachart siku ya 1 ya 2 ya 3 nkamtongoza kakubali Sasa huyu...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom