Wivu ni kielelezo cha juu cha ubinafsi alionao mwanadamu

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,045
10,476
READER DISCRETION IS ADVISED

Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti ajali za barabarani ili kuhakikisha usalama wa raia wake na kuepusha vifo vitokanavyo na ajali ni wakati sahihi serikali yetu pendwa kuja na mikakati ya kupunguza na kumaliza vifo vitokanavyo na wivu wa kimapenzi kwa kutoa elimu kuhusu wivu na namna bora ya kudeal na wivu ili kuepusha mauaji.

Kwa nini uhisi vibaya pale mwenzako mambo yanapomnyookea afu uhisi vizuri pale mwenzako mambo yanapomuendea ndivyo sivyo?

Kama unaumia mwenzako anapofanikiwa basi huo ni wivu ila reaction utakayochukua ndio itaelezea wewe ni mtu wa aina gani ila watu wa design ya Baba Morgan tuaotumia logic katika kufikiria tunakuwa motivated na kuchukua hatua ili kuboresha maisha yetu.

Tuachane na wivu unaotokana na mafanikio ya mtu turudi kwenye wivu wa mapenzi ambao ni kitu kigumu(complex) kwani ni ngumu hata kuelezea maumivu yake yanakuwaje na hata sababu zenye mantiki zinazosababisha wivu wenyewe.

Hivi leo ukiulizwa ni kwa nini unamuonea wivu mpenzi wako unapojua anasambaza utamu kwa wana wengine tena katika level unayotaka kufanya maamuzi mazito kama kuua au kujiua..??

Wapo watakaosema ni upendo pamoja na kugharamikia pesa nyingi.. kama ni hivyo kwa nini wazazi wake wanaompenda na walioingia gharama za malezi since day one walikubali umchukue mtoto wao kwa mahali sawa na bure au bila ya mahali na kuanza kumtumia mtoto wa watu either laini moja au laini zote mbili wakati wazazi wake wapo cool kabisa na hawana tatizo na wewe.

Wapo watakaosema magonjwa ya zinaa na kinyaa.. Je leo hii mtu anayetaka kulala na mkeo ukienda naye hospitali akapima magonjwa yote ya zinaa na kukutwa yupo salama utamruhusu kulala na mke wako? Kuhusu kinyaa je mke wako atakapomaliza kufanya tendo akajifanyia usafi kimwili na kiroho utakubali mke wako awe analiwa?

Wapo watakaosema ni kudharauliwa.. je mke wako na mchepuko wake wakiwa wanakuheshimu utakubali walale pamoja.?

Wapo watakaosema wivu unakuja automatically na kwa sababu katika amri kuu za Mungu kushiriki mapenzi na mke wa mtu ni dhambi.. kundi hili atleast ina make sense.

Pengine mimi Baba Morgan I'm too young to understand naomba yoyote mwenye uelewa na sababu zinazopelekea wivu wa kimapenzi atokee anitoe tongo tongo.

Wivu wa mapenzi ni kielelezo tosha cha kiwango cha juu cha ubinafsi wa mwanadamu. kwa nini utamu unaopata hutaki wenzako wapate ? Kwa nini hutaki mwenza wako apewe experience mpya za tendo?

From northern part of Tanzania.
 
READER DISCRETION IS ADVISED

Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti ajali za barabarani ili kuhakikisha usalama wa raia wake na kuepusha vifo vitokanavyo na ajali ni wakati sahihi serikali yetu pendwa kuja na mikakati ya kupunguza na kumaliza vifo vitokanavyo na wivu wa kimapenzi kwa kutoa elimu kuhusu wivu na namna bora ya kudeal na wivu ili
Nitarudi kwanza
 
Back
Top Bottom