Mzunguko hatari wa Mapenzi!

Mzunguko hatari wa Mapenzi!

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
10,658
Reaction score
20,070
Za saa hizi Wana MMU? Natumai mpo salama kbsa na tumshukuru Mola kwa kutuwezesha kuiona siku nyingine mpya.

Duniani Mambo Ni mengi muda mchache, Kuna mwanamke mmoja alikuwa anafanya kazi katika shirika Moja la benki mjini Nakuru Kenya na alikuwa na mumewe ambaye naye alikuwa mfanyabiashara wa kuuza bidhaa za electronics.

Siku Moja huyo jamaa alienda kwa mke wake akamuomba hela ili aweze kuboost biashara yake kwa kuongeza stock.Mke wake akaona isiwe tabu kwa jinsi alivyompenda mumewe akaamua kumpa ATM card yake pamoja na password.Jamaa akasepa kuenda kuwithdraw muamala katika branch nyingine ya benki.

Kumbe jamaa alikuwa anamzuga tu mkewe Wala hakuwa na lengo la kuboost biashara yake.Jamaa alipanga miadi ya kukutana na mchepuko wake,wakakutana,wakala,wakanywa na mengine yakafuata.

Baada ya kumaliza shughuli zao demu aliamua kumpiga jamaa mzinga wa hatari Sana akasema Ana shida ya sh' 15,000( Kenya shillings).Kumbe jamaa naye hakuwa na cash mfukoni mwake.Akachukua ATM card aliopewa na mkewe na kumpatia mchepuko wake akampa na password kbsa.

Demu akasepa kwenda kwa Agent kutoa muamala.Cha ajabu,demu alifululiza Hadi kwa Agent ambayo mke wa jamaa alikuwa anafanyia kazi kwa ajili ya kutoa hela.Ikumbukwe kwamba huyo demu Wala hakujua Kama yule mwanamke ndio alikuwa mke wa mchepuko wake.

Alifika haraka na kuanza shughuli ya kutoa hela bila kujali chochote.Ghafla ATM ikawa detected na huyo mwanamke, akajua hyo ATM card Ni ya kwake na bila Shaka huyo demu atakuwa amepewa na mumuwe.

Akamwambia huyo demu asuburi kdgo aongee na mtu.Mwanamke akachukua simu akampigia OCS ambaye Ni mchepuko wake Sasa[emoji23][emoji23]
Akamweleza aje upesi Sana kwani Kuna Hali ya hatarii imetokea.Jamaa akawahi na akaelezwa Kila kitu.Kumbe huyo demu naye ndio alikuwa mke halali wa OCS[emoji44][emoji44][emoji44]

Guess what happened next....Nitarudi na sehemu ya pili ambayo ndo Kali zaidi.
 
Izi nyuzi zimekuwa nyingi sana alafu hazimaliziki nashauri jfm wazifungie tu
 
Chai kama hizi uwe unatanguliza na chapati mbili
 
Uzi umetulia sana MKUU.. wanakuongopea hao
 
Usi tuchoshe
617092080.jpg
 
Back
Top Bottom