Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wana JF naomba ushauri au msaada Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach...
8 Reactions
94 Replies
10K Views
Habari ya asubuhi bandugu!!!! Jamani x wangu alikuwa na ujauzito wa miezi 2 kwenda kuangalia usalama wa mimba daktari kupima akagundua mimba iko nje ya mji wa mimba. Daktari akamwambia style...
5 Reactions
99 Replies
18K Views
HABARI NAITWA MUU NAISHI KIGAMBONI NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA AWE MWENYE MWONEKANO MZURI NA UMBOZURI LAKUNIVUTIA AWE HAJAZAA KUANZIA UMRI WA MIAKA 18 MBAKA 32 MWEUSI AMA MWEUPE NISAWA AWE MUISLAM...
0 Reactions
12 Replies
943 Views
Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia Vigezo serious awe handsome wa kiasi . Awe 32 -40 Awe hajawahi kupata mtoto kokote. Awe anafanya kazi kaajiriwa . Elimu...
13 Reactions
96 Replies
9K Views
Hehee [manake apo kwanza ncheke] Nimekutana na mwanamke niliepotezana nae tangu mwaka 2007 kwa kuwa kila mtu alienda kusoma sehemu tofauti. Nimekutana nae yuko vizuri kiutaftaji na anajiweza...
2 Reactions
12 Replies
957 Views
Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu. Halafu kingine ninaomba...
8 Reactions
132 Replies
7K Views
Wiki iliyopita nilibananishwa na mama watoto, naye anataka nimpeleke 'club' ambapo huwa nashinda ninapokuwa mbali naye. Mi nikamkubalia, nikawa sina shida; na kumuahidi kumpeleka maeneo hayo...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakaka kila siku huwa mnakuja na mada hapa mkifundishana madawa mara maufundi ya kuwapa wanawake wenu kitandani mda mrefu ili muwafikishe eti. Wengine nimekuwa nikiwaona hapa wanalalamika wake...
20 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu poleni na majukumu Mdogo wangu wa kiume alileta taarifa za kuoa kwa mzee wetu nyumbani Marangu Mamba Lekura, mkoa wa Kilimanjaro, Binti aliyehitaji kumuoa ni Mwenyeji wa Mkoa wa Bukoba huko...
23 Reactions
156 Replies
16K Views
Ulianza mahusiano naye akiwa tayari ana mimba ya mwezi mmoja,wakati huo wewe hukujua lolote kuhusu mimba,miezi mitatu baadaye mtu wake anakuja kugundua kwamba Demu wake ana anachepuka...
17 Reactions
141 Replies
10K Views
Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania...
36 Reactions
164 Replies
15K Views
1.Huwa ni kweli kuwa wanamitanange mizito na minene? Maana wakiwa wanauza dawa zao huwa wanasema zinaongeza ukubwa wa dushe. 2.Kimapenzi wanarizisha? 3. Hawaumizi mpaka inakuwa kero?
5 Reactions
97 Replies
13K Views
Salaam wakuu, Nmefanya Uchunguzi binafsi kwa miaka mitatu. Nlikua nataka kujua sababu za Wanawake kujibadilisha ngozi ili wawe weupe. Nlichogundua 1. Miezi sita ya kwanza wanakuwa na furaha...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Wanaume wote ni waaminifu lakini sasa shida ni sisi wadada. Why?
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Najua nnalotaka kulizungumza lawezekana lisiwe na maana yoyote kwa baadhi yenu ila acha tu niseme. Kwanza niwapongeze wanaume wenzangu woote hasa waliooa. Katika jambo ambalo hamjatuangusha...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari za weekend, natumaini mnaendelea vizuri. Niende kwenye mada moja kwa moja, miaka ya nyuma kidogo nilikua na binti mmoja kwenye mahusiano ikafikia mahali akawa ananieleza kuwa katongozwa...
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Walikutana Ben na Rose shuleni wakiwa wote wamefaulu darasa la saba. Licha ya uwanafunzi Ben alikua na kipaji cha kuimba na kupiga gitaa. Weekends alitumbuiza kwenye bar na pia alialikwa kwenye...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Kuna binti nimekuwa nae kwenye mahusiano takribani miezi kama mitatu hivi...muda wote wa mahusiano yetu alikuwa anakuja Nyumbani kwangu...anaweza akalala kwa siku mbili,,siku...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
For without are dogs, and sorcerers, and whoremongers, and murders and idiolaters and whosoever loveth and maketh a lie. Ladies just a little more virginity if you don't mind; just a little...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom