Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salute wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 27,kipindi na soma chuo niliwahi kutongonzwa na binti ambaye alikuwa tayari ana mtoto sikuona kuwa ni shida maana kila nlipo kuwa na hamu nae alinipa bila...
13 Reactions
50 Replies
5K Views
Hello Habari gani wanajamvi la MMU. Eeh bhaa kuna kitu nilikuwa nakisikiaga tu ila naanza kukiamini. Ishu iko hivi. Hivi kwa mfano mke wako yeye anapenda kutizama Muvi za kibongo kama Vile...
18 Reactions
128 Replies
8K Views
Salamu wanajukwaa, Baada ya salamu nijielekeze kwenye mada. Kuna kijana hapa alikuwa kwenye mchakato wa kuoa, amechumbia, amelipa mahari kama M 1.5 na maandalizi ya ndoa yalikuwa yamepamba moto...
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu. Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na hyu binti kama mwaka na miezi kadhaa. Ila sijawahi mgusa, na kila nikiomba uwa anasema nisubiri, hii hali imenichosha sasa...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Hivi namba ya watu ambao umewahi lala nao either kama one night stand,casual hook-ups, friend with benefits au mahusiano ya kawaida inaweza husika kwenye mahusiano mapya? Mfano: mpenzi wako mpya...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Wasalaam, Wanawake wengi haijalishi ana kipato kiasi gani kwa ujumla wao hawapendi kulipia huduma mbali mbali wanazopata. Na hapa wala tusiwalaumu kwasababu kiasili mwanamke hakuumbwa kutoa bali...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Nakumbuka mwaka 2001 enzi hizo bado niko shule ya msingi katika mji mmoja hapa Tanzania baba yangu ambae alikuwa ni mfanyabiashara wa toka enzi za Nyerere na aliyekuwa kwa kipindi hicho akiitwa...
38 Reactions
72 Replies
8K Views
Mbona wanawake wana lalamika siku hizi kuwa hawaoni waoaji kwani vipi wanaume siku hizi mnaogopa kuoa au ponyeto inafanya kazi uko kwenu? Chukuweni majiko bwana tupunguze idadi ya wanawake wengi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
4 Reactions
28 Replies
2K Views
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Reuters - April 9, 2009 RIYADH (Reuters) A Saudi man has divorced his wife by text message, a newspaper said on Thursday. The man was in Iraq when he sent the SMS informing her she was no...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanawake huwa mnaumia kwa upumbavu wenu wenyewe, you need true love but you engage in dating with fake people kisa tu ni handsome au ana pesa na gari while thats every cheap girl's dream. Wanaume...
41 Reactions
160 Replies
12K Views
Awe 40 to 50 Christian Awe anaishi Ubungo au Kinondoni Awe tayari kuishi pamoja Mimi mwanamke mtu mzima 40 yrs No kids Christian Naishi Ubungo
14 Reactions
98 Replies
8K Views
Wanawake ni viumbe wa mashindano, kwenye ukristo kabla hujamuoa mapenzi huwa ni moto moto maana geti la ushindani lipo wazi, akizingua anabadilishwa. Utapewa mapenzi moto moto huku nia yake ikiwa...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe. Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Siwezi hata kuzungumza mengi. Ni kwamba leo katika harakati za kugegedana na mpenzi wangu mara hamadi nikakuta maandishi katikati ya mapaja yake meupe na manene. Hayo maandishi yanasomeka hivi...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Wakuu habari za wikendi Nimekumbuka Kisaa hiki kilinitokea huko nyuma miaka 20 iliyopita. Nilikuwa nikipata Pisi kali baada ya kuanzisha mahusiano mazuri kuna ile mnaanza kupiga stori za ndani...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi ni dume la mbegu,miaka 45, nina mtoto mmoja nilizaa na beki 3 wa jirani yangu, Mtoto ni mkubwa anajitegemea yuko nje. Pamoja na upole na ustaarabu wangu ila warembo wengi wananikataa...
22 Reactions
302 Replies
16K Views
Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7 Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom