Nampenda sana lakini yeye ananipenda kidogo mno

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
3,567
5,288
Wana JF naomba ushauri au msaada

Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach kumwambia the way i feel kwamba nampenda na kweli i do love her.

things have changed hani treat kama zamanii najitahid sana kumuonyesha nampenda kwa njiaa nyngn but naona yeye hana interest na mm kabisa imefika point sjui nifanye nn natamani nimuache lakin nashindwa nampendaa sana am always thinking about her

Update: ipo post no# 95
 
Bro kaaa chini pamoja nae then muulize Kama anakupenda na Kama yupo tayali kuwa na wew kwenye safar ya mapenz kufikia malengo yenu
 
Punguza masihara kuwa serious

Unampenda ndio kwan kumpenda mtu ni nn basi?

Akiri ya mwanamke ni ndogo sana...nacho kiona hapo wewe unajili hisia zako tu kwa sababu unampenda lakin hakuko caring kwake

Kupenda na kujali vitu viwili tofauti kama kweli unampenda jifunze kumjali,na kumjali mtu sio lazima umpe hela..

"Kumacare kwako ndo kunaonesha mapenzi yako kwake na sio hisia zako"

Jitaidi kuwa karibu nae tumia mbinu za kibepel kumfanya awe wako..

Alafu mbon moyo wa mwanamke kuuteka ni mapema sana we unafel wap bro?

Pole mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom