Tumekuwa tukiwasema sana masingle mother kwamba wakikutana na wazazi wenzao huwa wanapasha kiporo hata kama ameolewa kwingine.
Mimi katika uchunguzi wangu ukweli ni kwamba mwanamke yeyote...
Hii ni independent study yangu.
Nimeweza kubaini mwanamke wa kitanzania akiwa pisi kali, sio wanaume chini ya 20 watajaribu kuchukua namba kwa siku. Vile vile akiwa sura ya kawaida sio chini ya...
Habari za siku nyingi wana MMU?
Nisipoteze muda nije kwenye mada kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana, namfahamu kama miaka minne iliyopita lakini sikuwahi kumtongoza na wala hatukuwa na mazoea...
Ijumaa Kareem!
Moja ya sababu zinazofanya mwanamke amuache mwanaume kimahusiano ni pamoja na "kutoeleweka Kwa Mwanaume". Bila Shaka ulishawahi kusikia Kauli Kama hizi Kwa wanawake, wakisema...
Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki...
Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti.
Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao...
Pole na hongera sana na kazi za ujenzi
Wa TAIFA letu
Rejea mada apo juu:
#Ilikuwa mwanzoni mwa mwezi huu wa kumi na moja tarehe mbili, siku hiyo mwanangu alistahili kwenda klinick#
Usku wa...
Nice guys wengi hutokana na malezi, maybe kalelewa na mzazi mmoja wa kike au wazazi wote, lakini baba yake naye alikuwa nice guy, kwahiyo mtoto lazima arithi unice guy.
Kutokana na malezi, nice...
Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana,kila kundi la binadamu huongozwa na tabia tofauti tofauti,hebu chukulia huu mfano,hujawahi kuta kuna kijana ametoka familia ya kitajiri tu yenye uwezo na ana...
Hivi sasa watafiti wengi wameonyesha kukubaliana na jambo hilo. Wanasema kwamba, wasichana wengi hubabaika na kufanya mambo yenye kuwaumiza kutokana na hofu kwamba, muda unakwenda haraka na...
Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa.
(Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story)
Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT...
What is the refractory period?
Reviewed by the medical professionals of the ISSM’s Communication Committee
After orgasm, both men and women experience a resolution stage called the refractory...
Lilian na Vivian walikuwa majirani, wote wawili wazazi wao walikuwa maofisa waandamizi serikalini. Wote walisoma Kenya shule ya msingi na upili na walikwenda vyuoni Ulaya.
Lilian alibahatika...
Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo.
Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake...
Wakuu kwema.
Kadri siku zinavyozidi kwenda wanawake weusi wanazidi kupungua (hawajiamini yan)
Wanahisi weupe ndio dili,wanawake wanaokubali kubaki na rangi zao halisi ni wa vijijini (wale wa...
Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu.
Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini...
Ilikuwa Mlandizi mwanangu nimeopoa demu alikuwa akifanya kazi ofisi fulani ya serikali -- ni mkubwa sana.
Basi fuleshi tukatoka Dar mpaka Mlandizi, nikachukua room demu akaja.
Mwanangu, demu...
Unakuta haamini Kama kaolewa?
Anajua anaenda kulala uchi (popo) kila usiku?
Anajua msela atabandua papuchi Bila malipo?
Au Huwa nimaigizo?
Maana nimeshindwa kuelewa machozi yanahusikaje pale
Mimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es Salaam.
Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi.
Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.