pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Habari ya asubuhi bandugu!!!!
Jamani x wangu alikuwa na ujauzito wa miezi 2 kwenda kuangalia usalama wa mimba daktari kupima akagundua mimba iko nje ya mji wa mimba.
Daktari akamwambia style mliyoitumia siyo nzuri kwani ni wengi wanapata shida kama hizi,
Na ni kweli tulitumia hyo style.
Nzuri IPI?
Mchana mwema