When your about to loose love that makes you feel like home

Aug 29, 2019
42
125
For without are dogs, and sorcerers, and whoremongers, and murders and idiolaters and whosoever loveth and maketh a lie.

Ladies just a little more virginity if you don't mind; just a little.

Greeting bosses;

Hivi ulishawai kumpenda mwanamke hadi ukiwa nae unajihisi uko nyumbani? Kuanzia muonekano wake mpaka tabia zake ukizieka kwenye mizani mwenyewe unasema yes! this is my female version. Yule mwanamke ambae ukimuona tu unaridhika hata kama ulikua baharia ule ubaharia unakutoka.
Kama ulishakutana na wanawake wa hivi nikisema kwamba hata kuwatongoza unakua mzito utakua unanielewa hata kama ulishawatongoza wanawake wangapi wakakuelewa. Till this time i was having a lot of relationship back then, a lot of passing affairs but the day that i met this girl i knew she is going to change something in my empty heart and yes she did!! sio mzuri sana wala sio wa kawaida she somewhere in between those two. Wakuu; huyu mwanamke nimezoena nae kiasi ( huwa sipendi kuzoena na mwanamke kupitiliza ), huwa nakutana nae kazini tu sijawai kukutana nae sehemu nyingine ila tatizo nikikutana nae na loose control, uwezo wa kutoa maamuzi unashuka, kuwa dominant as i always been goes down!! Damn mpaka nahisi nimelogwa nini? Yani nakua mzito to the extent hadi namba yeye ndo aliniomba even she must text me first for a conversation to start!! Fucken... i hate this ila tatizo hii hali inatokea kwake tu. Mabaharia wenzangu samahanini najua hapa nimefeli sana ila so hapo tu nimekwama sehemu nyingi mno.

Wazee that prologue is nothing the problem is juzi kati hapa ilikua birthday yake; alivorequest zawadi nikasema asante Mungu kwa sababu hata nikimtumiaga hela huwa anarudisha ananambia keep them for the future use kwa sasa hivi sina matumizi nazo. Kwa iyo alivosema zawadi nikaona apo apo ndo napitia!! Ladies.. ask something for your man, anything! it helps a lot to build confidence. Ndo kichwa kikafunguka sasa eti ndo naanza kukumbuka tips za kiumeni kwamba "Never waste an opportunity to tell someone you love them, be bold and courageous because when you look back in life you will regret the things you didn't do more than the ones you did".
Moyoni nikasema kama vipi huyu leo najilipua nae kwan shi ngap? nishachoka kukaa kaa kimya halafu movie nakua siilewi elewi iivi. Sasa imefika mchana naingia whatsap nakuta izo picha amepiga na jamaa mwingine, mapozi ya izo picha ilikua haina haja ya kujiuliza mara mbili mbili who are they to each other. Wakuu nilifreeze nlikaa kama dk 3 iivi sifikirii chochote... my brain was plain that moment. Sijui nimuulize? ila namuuliza kama nani sasa wakat sijawai kumwambia chochote ndo nlipanga siku hiyo nifanye hivo!! Sijui km nilikasirika au nilimind ila nilikaa kimya tu kwenye birthday yake sikwenda; nisingeweza ofcourse. Ikapita siku ya kwanza ya pili ya tatu hatujatafutana some pics and text akizifuta ile delete to everyone whatsap nikamtext hakujibu!! Khaaaah mbn nikawatext wanawake wengine wasipojibu poa tu ila huyu asipojibu nahisi kama kupasuka hiivi?? Can't do this shit.. ikabidi niuvae ule umimi wangu sasa, i know the rules in occasion like this is to find the prettiest bitch in the squad and fack her!! yes.. i did lakini bado ikawa haijanipunguzia chochote. Nika move kwa rafiki yake nikamueka sawa akaelewa akaja jana nikamla ila huwezi amini mpk sasa hivi bado mawazo yako pale pale yani haijapunguza kitu hata kidogo yani hadi kuota naota!! aiseeeh.. so what went down?? ukiniuliza ivo hata mi sijui ila najua kwamba kuna kitu sijui ndo mana nakua hivi; possibly kuna kitu natakiwa nikifanye ili nikae sawa na hicho ndo kitu ninachokitaka i belive naeza nikakipata humu.

Greeting again Bosses.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom