Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hali gani? Wanawake wengi wa kitanzania wana unafiki na ubinafsi wa hali ya juu ndani yao. Hili nimelithibitisha yapata miaka 3 sasa. Wengi wakiumwa wao wanataka kuhudumiwa na kupewa attention na...
59 Reactions
197 Replies
15K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu.! Naamini kila mmoja yu salama akiendelea na harakati za maisha, kwa wale wenye changamoto kadha wa kadha za kimaisha basi Mungu akakutetee. Leo nimependa...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawatakia sikukuu njema Jf Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke. Kwa...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Membes wa JF hi! Nipo Dar Ubungo external. Kwa muda wote nilioishi hapa nimesikia Sifa nyingi hususani za hawa dada poa wanaojiuza, mimi siko interested Sana na hawa watu, hasa wale maarufu wa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini za jioni ndugu zangu! Ndani ya hii january ulitokea mkanganyiko kati yangu na mpenzi wangu huyu binti ni mwenyeji wa kigoma (mzawa) na anaishi huko na nilimpatia hukohuko nasema wazi...
26 Reactions
157 Replies
23K Views
Wakuu kwema? Aise mwaka huu kwenye mwezi wa tatu kuna dada nilikua nae kwenye mahusiano nae tokea mwaka jana mwezi wa 9 sasa kila nilikua namuomba sex alikua anaonekana kuogopa sana Age yake 24...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari ya sikukuu ndugu zangu? Nimekuja hapa nahitaji mwenza, mm ni mwanaume umri wangu 36yrs Dini yangu mkristo Naishi Mbalizi Mbeya Kazi nimejiajiri mwenyewe Mke nimtakae umri 25yrs to 30yrs...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu...
40 Reactions
496 Replies
22K Views
Bila kupoteza muda niende kwenye mada! Mwaka 2016/2017 nilikutana na binti akiwa anafanya biashara yake Fulani maeneo fulani ndani ya jiji... Wakati huo nilikuwa napigika kuandika dissertation...
126 Reactions
242 Replies
18K Views
Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: *Awe muislamu Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 23 mpaka 26 Elimu yeyote aliyonayo Asiwe na mtoto Sifa zangu: *Muislamu Nina umri...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamii! Mimi ni mzee wa miaka 38, natafuta mwanamke wa kuzaa naye awe na miaka 30 hadi 45, na awe ameshajaribu kutafuta ukashindwa pengine umeenda hata Ulaya ili ukapandikize mimba lkn...
1 Reactions
3 Replies
997 Views
Nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuanza safari ya mwisho ya kimahusiano kifo tu ndio kitutenganishe. Mimi Nina miaka 32 Mjasiriamali Mkazi wa Dar es salaam. Mkristo Mnene kiasi,maji ya kunde...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake. Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu" Tena wengi...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja...
19 Reactions
135 Replies
12K Views
Kweli hakuna anayefurahia kuachwa. Mapenzi yanauma, wakati mwingine hasira zinaweza kutuongoza katika kufanya maamuzi lakini suala la msingi linalopaswa kuzingatia ni kujidhibiti. Lazima tujifunze...
7 Reactions
18 Replies
7K Views
James na Jamila walianza mapenzi wakiwa shule ya upili. Walipofika kidato cha tatu Jamila alipata ujauzito, ilibidi aache shule. James alendelea kidato cha tano na sita. Jamila alijifungua...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za saa hizi watumiaji wa mtandao wa jamii forums. Leo nimekuja kuwaelimisha, kuwapa elimu ya bure juu ya suala ambalo limekuwa likipotoshwa sana katika jamii yetu na reflection ya...
12 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadada smart tunawapenda sana, na tunathibisha mna utamu wa kipekee; popote pale pongezi ziwafikie. Changamoto kubwa mliyonayo; mnatutesa sana sisi wanaume; hela haikai, muda wote tunapokuwa na...
16 Reactions
133 Replies
8K Views
Hebu chukulia mfano huyu anavyoomba hela kwa mwanaume wake aliemzalisha. Mwanaume angekua karibu angepigwa makofi wallah😂😂😂
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama hakuna aliyejaribu kujinyonga, kunywa sumu, kujirusha baharini, ziwani, mtoni, kwa ajili ya mapenz yako au kukupenda tambua hujawahi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom