Wanawake wa Kenya wengi wao sio Romantic. They mostly talk, behave like men

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,540
Hebu chukulia mfano huyu anavyoomba hela kwa mwanaume wake aliemzalisha.

Mwanaume angekua karibu angepigwa makofi wallah😂😂😂
FB_IMG_1651169820271.jpg
FB_IMG_1651169820271.jpg

FB_IMG_1651169827221.jpg
 
Mkuu umenukumbusha Ben alivyo kula kichapo kutoka kwa Anna, kisha kesho yake akatoka ameshikilia mkongojo akazuga kwamba alianguka kwenye ngazi....🤣
R.i.P Ben.....
Hivi mkewe kabila gani?

mianamke ya hivyo ingeendelea kuwepo mbona tungenyooka!

na bado hawakuachana😂😂
 
Mkuu umenukumbusha Ben alivyo kula kichapo kutoka kwa Anna, kisha kesho yake akatoka ameshikilia mkongojo akazuga kwamba alianguka kwenye ngazi....🤣
R.i.P Ben.....
Ben alisikitisha sana na hata katika msiba Anna ...
 
Mimi Ni mkenya na saizi nipo Kenya kabisa,,,kusema Kweli Hawa wanawake wa Kwetu Ni pasua kichwa,,,Yaani Ni madikteta hatarii afu hawapendi kuendeshwa...Tena kwa kupiga mizinga hawajambo

Ndo maana binafsi huwa natamani Sana siku moja Mungu anijalie mwanamke wa Kitanzania nioe maana hao Ni wastaarabu Sana.

Kuna muda huwa nawaza kufungua Uzi niweke CV yangu Kisha humo niombe CONNECTIONS za mwanamke wa Kitanzania ila Naogopa sijui wanajf watanichukuliaje labda

Kabisa sipendi wanawake wa CV kwetu Kenya,Ni wabaya ajabu.
 
Tanzania tupo na mademu wakali sisi tu ndio pasau vichwa ila Kwa uzur tu dada zetu weng ni wazur
 
Mimi Ni mkenya na saizi nipo Kenya kabisa,,,kusema Kweli Hawa wanawake wa Kwetu Ni pasua kichwa,,,Yaani Ni madikteta hatarii afu hawapendi kuendeshwa...Tena kwa kupiga mizinga hawajambo

Ndo maana binafsi huwa natamani Sana siku moja Mungu anijalie mwanamke wa Kitanzania nioe maana hao Ni wastaarabu Sana.

Kuna muda huwa nawaza kufungua Uzi niweke CV yangu Kisha humo niombe CONNECTIONS za mwanamke wa Kitanzania ila Naogopa sijui wanajf watanichukuliaje labda

Kabisa sipendi wanawake wa CV kwetu Kenya,Ni wabaya ajabu.
mimi ni mtz.
miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuishi nairobi kikazi. nikaingia ktk mahusiano ya kimapenzi na demu mkikuyu wa kutokea kule kirinyaga. she was so cute.

mwanzo wa mahusiano yetu mapenzi yalikuwa hot sana.

rafiki zangu wa kutokea mombasani wakawa wananipa warning kuhusu wanawake wa central kenya, nikaziba masikio. nikahisi wananionea wivu.

siku zilivyosonga mbele nikaanza kuona rangi yake halisi. tabia yake ikabadilika and she became so arrogant. tukipishana kidogo kauli ananitolea vitisho ati ooh wewe hujui sisi mademu wa kenya, ipo siku utanijua mimi ni nani and blablabla.

kimoyomoyo nikasema huyu hajui mimi ni mtz, nilipopata likizo nikaja home tz. halafu nakaenda ushagoo kwetu "kusalimia bibi na babu".

niliporudi nairobi alikuwa kama kondoo,jeuri yote kwisha. mpaka leo huwa ananikumbuka shenz zake.
 
Back
Top Bottom