Tangu nimempiga Chini mpenzi wangu nawashwa sana sehemu ya haja kubwa, nahisi amenichezea

vugwe

Senior Member
Dec 18, 2020
113
500
Habarini za jioni ndugu zangu!

Ndani ya hii january ulitokea mkanganyiko kati yangu na mpenzi wangu huyu binti ni mwenyeji wa kigoma (mzawa) na anaishi huko na nilimpatia hukohuko nasema wazi kabisa,

Baada ya kutafakari kwa kina kosa alilonofanyia nikaona sitaweza kuendelea kuwa nae ikabidi nimue kumuacha kistaarabu tusije kuanza mambo ya kutukanana,

Niliamua kumkalia kimya akawa akinitumia sms sijibu wala simu zake sipokei nae akakaa kimya kama siku mbili, mwisho wa siku alinitumia sms akaniambia " naomba unieleze mpaka kufikia saivi una mpango gani na mimi?"

Sikuamua kumkalia kimya tena nikamjibu kwamba mimi "nimeshindwa kukumudu endelea kuwa na unaowaheshimu safari yangu imeishia hapa"

Yule binti akaniuliza tena unauhakika na ulichokiandika? nikamwambia nina uhakika 100%. Akaniuliza tena "kutoka moyoni kabisa umedhamiria? nikasema ndiyo, akanitumia sms kwamba sawa nakutakia "maisha mema"

Nilishangaa sana kuona amekubali kirahisi tu as if na yeye alikua na mpango wa kuniacha, yani kama vile mimi sikua lolote kwake na hapo ndo niliona sina tena cha kupoteza kwake namuacha mazima,

Sikumjibu tena nilifuta namba yake ya simu nikafuta sms za watsap zote nikafuta picha zake zote, nilibakiza picha zake chache kwenye gallery picha alizopiga uchi ili iwe kama silaha yangu siku akikisanua na mimi nizisanue,

Sasa cha kushangaza asubuhi yake baada ya kuachana rasmi niliamka nawashwa sana sehemu ya haja kubwa yani nawashwa maumivu ambayo sijawai kuyaona, mwanzoni nilichukulia kama utani ila nashangaa nimefika hadi hatua siwezi kukaa vizuri nakaa kwa taabu,
halafu sehemu ya mbele ya uume (kichwa cha uume) kimekufa ganzi hata nikilala na demu mpya kichwa hakina raha yoyote yani kama kimepigwa ganzi kabisa hata kuna mda nikikishika sisikii kama kipo yani kiujumla uwepo wake ni hafifu sana!

Wadau mi hadi mawazo yameanza kunijia au huyu mdada kanifanyizia?

Au ni ugonjwa tu imani yangu ndio potofu? Maana hawa madada nao kumuacha ghafla tu akakaa kimya mi sina imani kabisa wakuu hapa nimepanga jumatatu asubuhi niende kupiga ramli kwa mtaalamu na nimeapa endapo ntakuta ni yeye skadi ntakayoituma haitamuathiri yeye tu bali na ukoo wake mzima ili iwe fundisho

Nimeanza kupigana vita ya kiroho rasmi maana hata maandiko yanasema vita yetu si ya damu na nyama bali ni katika ulimwengu wa roho

Waefeso 6:12
[12]Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom