Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inaonekana ni kipande kisichofaa cha filamu ya mapenzi . Lakini taarifa kuhusu 'kunatana' wakati wa tendo la ndoa ni jambo lililopo kwa karne na karne - huenda zingine kukawa na ukweli. Safari ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari yako msomaji, Nilikuwa nawaza kumbe mahusihano Saa nyingine yanarudisha maendeleo nyuma, nakumbuka nimeanza kuhonga mwaka 1997 nikiwa standard 4 yaani kalikua katoto ka mwalimu mkuu, si...
5 Reactions
104 Replies
8K Views
Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake. Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Blue monday wakuu! !! ☆hivi inakuwaje binti anakukasirikia halafu bado anataka kuwasiliana na wewe!? ♧kuna workmate wangu anapenda sana kunikasirikia nikifanya jambo tofauti na anavopendelea...
2 Reactions
125 Replies
8K Views
Hawa wanawake vimbaombao wenyewe wanajiita modo! Wana wivu na hawajiamini kabisa shida ni nini, mbna wenye wowowo huwa hawana wivu na wanajiamini! They are soo insecured
12 Reactions
270 Replies
13K Views
Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama...
13 Reactions
58 Replies
7K Views
Babaa, Mahabuba, Mpenz, Laaziz, Mfalme Wangu... About last night.... Am trying hard to keep it low but nashindwa mpenz.... Hawakukosea waliosema penzi ni kikohozi, kulificha huliwezi...
9 Reactions
69 Replies
5K Views
Wadada wa Sinza wameanza kujipitisha nyumbani kwa dokta Shika wanasema kwamba Dk. Shika ni mpole, mstaarabu. Wadada wengi wameanza kumsaka tajiri Dr. Shika na wengine wameenda ofisi za Television...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Ebana nina imani mko salama salmini. Nimeleta uzi huu hapa nikiwa nina imani wengi wetu tumepitia mahusiano mbalimbali mpaka kuja kufikia hitimisho (ndoa) Kuvunjika kwa mahusiano haimaanishi...
5 Reactions
81 Replies
7K Views
Kwenye mchezo wa soka Kuna Simba na Yanga, kwenye mziki kuna Diamond na kiba kwenye mchezo wa ngumi kuna Mwakinyo na Twaha Kiduku kwenye siasa kuna CCM na Chadema, kwenye mapenzi kuna mwanamke na...
3 Reactions
34 Replies
14K Views
Kuna ukweli katika msemo wa kwamba "Bora ukosee vyote ila usikosee kuoa au kuolewa. Mapenzi ni vita, Mapenzi mabaya Wahenga wanasema hivyo na wanasistiza mapenzi yana run dunia. Kuna jamaa...
1 Reactions
5 Replies
824 Views
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo. Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi...
11 Reactions
136 Replies
10K Views
Kuna Jamaa anatoka Na Ex wangu Sasa Jamaa huyo ana Tumia pesa nyingi kumgharamikia mtoto apendeze Kweli Na Kweli mtoto kawaka kinoma Ila kibaya pamoja Na hayo yote ambayo Jamaa ana mfanyia demu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Unajua buana, kuna utofauti mkubwa sana katika kutongoza 1. Mtoto wa kishua ambae hana shida 2. Mdada mwenye kazi yake 3. Mwajay ndala ndefu 4. Workmate 5. Mwanafunz mwenye msimamo wa masomo 6...
11 Reactions
41 Replies
5K Views
Kuna vitu vingi sielewi kuhusu mademu wa Arusha. Hawa mademu wa Arusha wanashida gani? Nipo nakunywa kaunta hapa Kuna demu ndio yupo kaunta. Nimemchombeza kidogo kajimwambafy kinoma na kaniwekea...
3 Reactions
44 Replies
14K Views
Humu kuna wanaume wanaringa kama nini. Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu. Hawana pesa wala nini wote ni shida. Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source...
17 Reactions
272 Replies
15K Views
Nasalimia kwa adabu zote stahiki. Bahati mbaya kiswahili chetu hakijawa na salama "universal" na mjadala wa "shikamoo" hatujawai kuufunga! Ila bado napigia chapuo...salaam aleikhum! Humu JF ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu ni mdada ambaye huwa nafukuzia ila kwa sasa anakaa Lindi Mjini Ghana Street. Sasa Leo asubuhi kanipiga kizinga cha buku tano namm kwa kuwa nina ugeni wa Dada zangu kichwa kina mambo mengi...
12 Reactions
72 Replies
4K Views
Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja. Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako...
21 Reactions
273 Replies
16K Views
Love starts with a hug, grows with a kiss, and ends with a tear. Vladimir Vladimirovich Putin alifunga pingu za maisha na mkewe Lyudmila Aleksandrovna Ocheretnaya mwaka 1983 akiwa na umri wa...
5 Reactions
36 Replies
10K Views
Back
Top Bottom