Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Jing chu

JF-Expert Member
May 9, 2019
385
592
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.

Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za biashara used naingiza pesa kiasi japo sio kama nilivokuwa napata salary. Mke wangu anabiashara yake nimemkuta nayo japo niliingiza pesa kama kutanua biashara iwe kubwa.

Cha kushangaza kafikia hatua hadi baadhi ya pesa nilizompa siku sio nyingi anakatalia ikabidi nimfate ofisini kwake ni chukue alivogoma nika force tukaharibu simu yake akaenda police kunichukulia RB kwamba nimemfanyia fujo japo hawakuja kunikamata na hii ni mara ya tatu kunishtaki kwa mambo ya kipuuzi mara zile mbili alinipeleka kwa mjumbe.

Sina amani na hataki tuachane mfano juzi nikamwambia ngoja nimwachie nyumba au nimtafutie room akae na mwanae mimi nikatafute pesa siku nikipata nitarudi amegoma na hapa tunapoishi kodi imeisha.

Sasa ninafikiria kumtoroka asijue nilikokwenda, najuwa hana hela ya kupanga chumba kwa sasa na hapa tulipo sasa nimesha mwambia mwenye nyumba naondoka. Yaani wakuu kuna madhira kibao hadi nafikiria na kuwaza mambo magumu sana.

Naandika lakini nahisi kama hamtanielewa maana ni mambo magumu sana. Sijawahi kumcheat mke wangu na sina demu mwingine lakini naishi nae ndani kama kaka na dada hata haitaji nimguse.

Ana kiburi kama chote jeuri imezidi hana hekima kabisa sometime hana aibu hata mbele za watu anaweza jibu hovyo tu.

NAMPENDA MWANANGU HIKO NDO KINANIUMA KUMUACHA LAKINI NAHISI NI KIFUNGO KIBAYA SANA KUENDELEA KUISHI NA HUYU MWANAMKE. NADHANI NIKIWA MBALI NAE ANAWEZA ONA UMUHIMU WANGU.

Nimechoka wakuu naomba mawazo uenu pia ikiwa utaguswakunishauri. Hatujafunga ndoa bado ni wachumba najulikana kwao na anajulikana kwetu.

Ahsanteni.
 
Mkuu, biashara ulitia pesa lakini bado mke ukimuacha hana uwezo wa kupanga chumba, anyway hakikisha huitesi nafsi yako kwa lolote lile wape taarifa nduguzo wawe ndio wa kupelekea huduma wao kipindi wewe unapambana huko uliko na upatapo mda uwe unarudi kukijulia hali kiumbe chako.Usiondoke kwa kutoa maneno makali ya kujimaliza sana hujui kesho kitakuja kitu gani kumbuka ni mapenzi haya mzee
 
Mkuu ,biashara ulitia pesa lakini bado mke ukimuacha hana uwezo wa kupanga chumba, anyway hakikisha huitesi nafsi yako kwa lolote lile wape taarifa nduguzo wawe ndio wa kupelekea huduma wao kipindi wewe unapambana huko uliko na upatapo mda uwe unarudi kukijulia hali kiumbe chako.Usiondoke kwa kutoa maneno makali ya kujimaliza sana hujui kesho kitakuja kitu gani kumbuka ni mapenzi haya mzee
Yes huwezo hana maana mzunguko wa biashara yake nao unalegalega na matumizi ya hovyo hovyo na pia anatakiwa pia alipe pango la frame
 
Mkuu husiondoke, hivyo vipesa kidogo unavyopata pambana katafute chumba kimoja lipia, mweleze kwakuwa kwa wakati huu fedha sina na hapa kodi imekwisha nimepata chumba kimoja tutahamia huko.

Akikataa wewe tangulia, ongea na mwenye nyumba mweleze mnahama,ita gari pakia mizigo atakufuata.

Akihamia tambua moto utazidi kuwa mkali,wewe husimjali,amka asubuhi nenda shughulini,hakikksha unanua chakula na mahitaji ya mtoto.

Mambo yatakaa sawa, ila kazi unayo,kama kazi ulipoteza mwaka jana tu mwishoni (juzi tu hapa) ameshafikia hapo!!. Mambo yakichelewa kukaa sawa utakinywea kikombe.
 
Mkuu husiondoke, hivyo vipesa kidogo unavyopata pambana katafute chumba mimoja lipia, mweleze kwakuwa kwa wakati hub fedha aina na bapa kodi imeksha nimepata chumba kimoja tutahamia huko.

Akikataa wewe tangulia, ongea na mwenye nhumba mweleze mnahama,ita gari pakia mizigo atakufuata.

Akihamia tambua moto utazidi kuwa mkali,wewe husimjali,amka asjbuhi nenda shughulini,hakikksha unanua chakula na mahitaji ya mtoto.

Mambo yatakaa sawa, ila kazi unayo,kama kazi ulipoteza mwaka jana tu mwishoni (juzi tu hapa) ameshafikia hapo!!. Mambo yakichelewa kukaa sawa utakinywea kikombe.
Sawa mkuu kama halidhiki na hali hii sass hata niiendelea kukaa nae bado nitaishi kwa stress hata kazi zinaingia mikosi mkuu. Nilifikiria kuwa mbali nae kwa muda pengine ataona umuhimu wangu.
 
Ukiondoka tu kuna njemba itamfadhili na kula mzigo,usiondoke ila kuwa mkatili piga màkofi ya maana mpaka masikio yazibe,akikunyima penzi piga chukua mkanda wa suruali chapa sukumia nje funga mlango alale nje,usilete ulokole kwenye mapenzi,nasema usiondoke bali kuwa mkatili hadi akikuona moyo unaenda mbio kwa woga,tembeza kichapo,
 
Dahh sawa nimekusoma lakini ujue hadi sasa ana RB kwamba nilienda kumfanyia fujo ofisini kwake wakati nilienda kuchukua pesa zangu nilizompa week kabla. Sasa kuepuka kesi za hivyo si boda nimsikilizie tu.
 
Kesi za mahusiano polisi hawazipi uzito,hata hao polisi wanatandika wake zao,sanasana mtapelekwa dawati la jinsia,usiogope kulala ndani siku moja,we leo mpe makofi utaniambia kesho atakuwa na adabu
 
Kazi ipo yaani. Hizi ndoa hizi basi tu.

Ina maana wakati wa courtship mpaka uchumba hukuona dalili zo zote kuhusu hizi tabia zake mbaya? Au uliziona ukapuuzia ukidhani kuwa ukimtia ndani zitarekebishika? Yaani umepoteza kibarua mwaka jana tu na tayari moto unakuwakia? Hata ubinadamu japo kidogo hamna? Vipi ukiumwa uwe wa kugeuza kitandani?

Sorry but sidhani kama una mke hapo aisee; na ukiamua kubaki naye huko mbele ya safari jiandae kwa magumu zaidi ya haya na hakikisha huishiwi pesa wala kuugua. Na uzeeni ujipange hasa!

Pole sana!
 
Sasa kama hata hiyo biashara yake ambayo anaifanya haimtoshi kulipia pango anaanzaje kuota mapembe kiasi hicho?

Lakini hapo nakushauri huruma yako ielekeze kwa mtoto, fanya maamuzi ambayo yatakuwa na faida kwa mtoto, huyo mwanamke hakufai
 
Kazi ipo yaani. Hizi ndoa hizi basi tu.

Ina maana wakati wa courtship mpaka uchumba hukuona dalili zo zote kuhusu hizi tabia zake mbaya? Au uliziona ukapuuzia ukidhani kuwa ukimtia ndani zitarekebishika? Yaani umepoteza kibarua mwaka jana tu na tayari moto unakuwakia? Hata ubinadamu japo kidogo hamna? Vipi ukiumwa uwe wa
Offcoz kuna kuona tabia na kuvumiliana lakini haya makucha ndo nayaona sasa sikuwahi kuhisi kama atakuwa hivi siku moja.
 
Ukiondoka tu kuna njemba itamfadhili na kula mzigo,usiondoke ila kuwa mkatili piga màkofi ya maana mpaka masikio yazibe,akikunyima penzi piga chukua mkanda wa suruali chapa sukumia nje funga mlango alale nje,usilete ulokole kwenye mapenzi,nasema usiondoke bali kuwa mkatili hadi akikuona moyo unaenda mbio kwa woga,tembeza kichapo,
Umemaliza mkuu jamaa ingawa wengi watasema mkatili ila sometime wanawake wanataka mapenzi ya uhuni uniceguy co mzuri kwenye mapenzi kwa nyakati zote tatzo jamaa ameshajihukumu et kwa sababu ya kipato ndio yote hay yamkute na yey yupo tu hata hachukui hatau yeyot anamwachia MUNGU ni kosa uyu Dem ni wakula nae sahani moja titi fo tati lazm ajielewe , wanaume tunapoteza haiba zetu za uwanaume
 
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.

Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za
Piga chini chomoka hapo hakuna mapenzi hapo mtakuja kuuwana ndani bora lawama za muda mfupi kuliko fedha ya muda mrefu
 
Back
Top Bottom