Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapo patatosha kweli? - Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi - Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe? - Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tafiti fupi ilofanyika Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa Mwaka 1960-1970 Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani Mwaka...
2 Reactions
7 Replies
936 Views
Habari wana MMU naimani ni wazima, unajua sisi vijana linapokuja suala la kuoa, unaoa ulipopenda, ila shida inakuja endapo familia yako mwenyewe ni ya kimasikini, wewe mwenyewe ni masikini kwani...
13 Reactions
133 Replies
13K Views
Wanandugu nimerudi tena, nipeni ushauri kuhusu jambo hili. Miezi minne nyuma nilikuwa na mpenzi niliyempenda sana mpaka kufikia nikajitoa kila hali ili awe na furaha. Ila alichonifanyia...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Wamejaliwa, wamebarikiwa. Dada zenu wa migombani wameshajua hili na wanachangamkia fursa haraka. Ni wasomi kusini nzima (Wamwera na Wamakua). Nina mifano mingi sana ya hili. Anyway karibuni...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari zenu nyote. Wakubwa shkamooni, wadogo kama kawaida!! Naomba nielekee kwenye mada lakini naanza na mfano. Kuna mkoa huwa napenda kutembelea anytime katika mwaka. Nimeshatembelea mara mbili...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeishi na mpenzi wangu karibu miaka mitano na tumepata mtoto mmoja ana miaka miwili, nampenda sana mpenzi wangu, ila sasa hivi yupo kwao tanga karibu mwezi sasa ameenda kumuuguza mama yake. Ila...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia Awe mrembo wa sura Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 28 Elimu ya chuo na kuendelea Asiwe na...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Tuna kama mwaka mmoja na sehemu na ana mimba kubwa tu takribani miezi kama mitatu imepita toka tukubaliane kutogusa simu yangu baada ya kuanza kunidhania vibaya kuwa yawezekana nachati na wapenzi...
15 Reactions
104 Replies
7K Views
Hivi kwanini? Mimi nimekuwa na roho ya kusamehe sana? Kwa mafano mtu akinitendea kitu akisiema tu samahani ananivunja nguvu mtu ata kama yeye labda kajishusha kwangu au tulizinguana nashangaa...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Kama wewe ninkijana unasafari na ndoto zako na una tamani kufika mbali basi nakukumbusha ni ndoto za vijana wengi kabla yako zilikufa kwa sababu ya kutoa huduma za kimume wakati bado ni marafiki...
25 Reactions
39 Replies
2K Views
Kitambo kidogoo... Muda mchache majukumuu kibaooo Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa.... Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa... Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu... Mikonoo, uso...
9 Reactions
42 Replies
4K Views
Poleni na majukumu ya hapa na pale.. Mimi ni mwanaume nilie kumbana na adha ya usaliti baada ya mchumba wangu kunisaliti na mtu mwingine. Cha ajabu nilimpenda sana ilabaada ya kunisaliti ile kiu...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Salamu humu jamvini! Nimesikitishwa sana, na hii ndio model ya wanawake tulio nao. Leo nimejua kwa nini huwa wana mute kuitikia salamu. Hivi mtu humjui hakujui unapata wapu ujasiri wa kumletea...
16 Reactions
216 Replies
14K Views
Vitu ambavyo vinashangaza kwa upande wa ndugu zetu waislamu kuna mda mnafunikaga kombe ili mwana panya road kupita. Katika imani ya kiislamu mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa au kabla ya ndo huwa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna demu mmoja ni Mpangaji mwenzangu hapa tulipopanga tumepanga wengi sasa Huyo demu ni pisi Kali kinoma toka ameamia ana mwezi mmoja. Sasa wadau wengi...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Salamu! Nakumbuka,nikiwa chuo ilikuwa likipita daladala tu unakuta,ndani kuna ngoma inapigwa then nje kuna dada katoa makalio kupitia dirishani anakatika. Aisee nilikuwa sipitwi, nakumbuka...
25 Reactions
132 Replies
11K Views
Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
1 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Closed
Heri ya siku ya wapendanao Iko hivi nilikuwa kwenye mahusiano na huyu dada nkwa miezi sita,Mm ni graduate nipo kitaa nina mwaka na hustle na kilimo na ufugaji ili kupata mahitaji yangu ya msingi...
12 Reactions
77 Replies
7K Views
Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom