Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Peace be upon you all. Nimekuja kugundua wanawake wenye vijitabia vya ufeminism sina muda wala sitaki shobo nao hata punje. Binafsi ni mwanaume ninaeamini katika jinsia tofauti zenye majukumu...
92 Reactions
529 Replies
29K Views
Jina: KIPEPE a.k.a Full package Kazi: MWANASAIKOLOJIA Location: Mabwe pande Nipo Hapa tena aseee! Eebanae! way back kidogo nilitembelea mkoa wa Mbeya, nilishuhudia kuona wadada kwa wamama...
2 Reactions
72 Replies
17K Views
Watu humu mambooz. Tusichorane. Hakuna mtu yuko peke yake humu ndani. Ni kwamba mtu anamadai eti yupo peke yake halafu ukichunguza ni kwamba hayupo peke yake wapo wawili. Ni hali tu ya kuwa...
15 Reactions
279 Replies
10K Views
Habari, Mke wangu mdogo amenifungia mlango hataki niingie chumbani kisa na mkasa alisoma ujumbe kwenye simu yangu na kuona ujumbe wa mke mkubwa, ameshikwa na wivu. Nalitatuwa vipi? Nivunje...
12 Reactions
73 Replies
4K Views
Habari! Picha linaanza kwa kumuangazia bwana X ambaye kutokana na tabia yake ya uzinzi imekuwa ni kawaida kwake kutamani kila mwanake anayekatiza mbele ya macho yake. Hali hii imemfanya awe na...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Leo nikiwa nipo kwa mshikaji tunapiga stori za hapa na pale, alinionyesha baadhi ya picha, video na rekodi za sauti anazotumiwa na mpenzi wake. Zinaonyesha utupu wake, akiwa anajishikashika...
7 Reactions
38 Replies
5K Views
Inawezekana ulikua naye muda mrefu lakini akakuacha. Inawezekana hamkuachana rasmi lakini alikupotezea tu lakini saivi anarudi. Inawezekana mlikua mnapendana lakini ukajikuta umebweteka, au...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Naishi Dar es Salaam Nina watoto 3 Nafanya kazi na Biashara Elimu ya chuo Umri wangu 42 Dini Yangu Mkristo. Niko hapa kutafuta Mke halali wa ndoa, Umri kuanzia miaka 30+ Asiwe na mtoto/watoto...
2 Reactions
6 Replies
751 Views
Habari zenu Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe...
8 Reactions
85 Replies
3K Views
Hakika nilitawaliwa na pepo la ngono kipindi hicho. Nikikumbuka najikuta natetemeka. Sitamani hata kutembelea nyumbani. Inasikitisha[emoji24][emoji24] 1. Mama wa rafiki yangu Nilikuwa na 19 yrs...
19 Reactions
118 Replies
18K Views
Kidogo macho unaweza kusema uyafumbe, na masikio je? Mimi hii kitu imenitokea mara nyingi tu katika mazingira ya maisha niliyoishi ila kuna siku naikumbuka nikiwa nafanya kazi kwenye boti jamaa...
12 Reactions
34 Replies
7K Views
Abali.najuwa kinawajuzii umu sivwo. Naidafuta muvii ya eligi fodi,,tumemuhona. Ejiki fodii tumemuwonaa Hameniyag.iza mkewagu natuna migoholo tokeyajana hujiku. Nirimwamusha hanipe akiyagu...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia. Sasa hasira na maumivu...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo. Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya...
25 Reactions
179 Replies
8K Views
Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua. Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Kumwambia mwanamke awe wako pekee mapema ni kama kumlazimisha penzi. Utapoteza mvuto na thamani ya penzi itakua ni ndogo. Hata wewe, mwanamke akikufata moja kwa moja anataka ulale nae...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu, 2006 Nilimpa binti mmoja mimba kwa bahati mbaya, nilimdanganya kuwa sina mke wakati nilikua nae mke alikua anafanya kazi kwenye stationary niliyokua napenda kufanyia kazi zangu tukapatana...
0 Reactions
101 Replies
10K Views
Mwaka jana mwezi wa nne nilipata kamchongo fulani ivi sehemu, katika utafutaji kama tujuavyo mambo ni nyingi kwaio fursa ilitokea lazma uchangamkie, nikawa mbali na watu wangu wa muhimu kwa...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari Wana JF ,Napenda kuwatakia heri ya msimu wa pasaka. Moja Kwa Moja niende kwenye mada Kumekuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume Kila iitwapo Leo katika Dunia ya sasa.Zipo sababu...
6 Reactions
61 Replies
7K Views
Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom