Merciana
Senior Member
- Sep 6, 2017
- 103
- 327
Habari za mchana ndugu zangu.
Naishi na mzazi mwenzangu na alishakuwa na watoto kabla ya kukutana na mimi...
Ni hivi, juzi alimpost mtoto nisiyemjua status kumuuliza ni mtoto wa nani akaniambia ni mdogo wa mtoto wake aliyezaa na mwanamke mwingine, yani mtoto wa mdogo wa mzazi mwenzake
Ikabidi niulize kwanini ampost mbona mtoto wangu huwa hampost hata birthday hakumuwish?....
Watoto wake wawili nawafahamu na sina shida juu ya watoto wake shida ni kwanini mtoto wa shemeji yake?
Hivi ni sahihi kwa yeye kuendelea kuwa na ukaribu na ndugu wa mzazi mwenzake while tayari mimi naishi naye?
Kuna vitu vingine vinaonekana ni vidogo ila vinaimpact kubwa badaye.
Ni kazi sana kuwa na mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyezaa kabla na wasiojua mipaka yao.